Gaël Bigirimana akamilisha Dili la Kujiunga na Yanga SC Kutoka UK

kweli hata kina Sunderland,Green forest ,Yeovil ,sportmouth hawajamwona ila wamemwona Yanga....achilia mbali EPL na championship hata daraja latu hawajamwona.
Wamemuona Sasa mtu career yakeana goal 3 match 300 wampeleke wap
 
Jibu
Kwa nini kukaa kimya kwa Simba katika usajili kunawauma Yanga? [emoji23][emoji23]
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.

Yule muhindi ni tapeli, hebu soma jinsi yanga watakavoipata thaman halisi ya Club yao na uwekezaji utakavo kuwa.

“Asilimia 49 zimegawanywa kwa watu wanne tofauti ambao watakuwa na uwiano wa asilimia 12 kutoka taasisi au watu tofauti tofauti ambao vyanzo vya mapato hawashabiani kimapato kutakuwa na kampuni maalumu itakayofanya kazi ya kujua thamani ya klabu na wataweka wazi hadharani na mwenye uwezo wa kununua hisa atapata nafasi hiyo bila upendeleo wowote” - Injinia Hersi kuhusu uwekezaji ndani ya Yanga

Sisi mbumbumbu rage hakukosea kutubatiza hili jina,, leo hii mo anaweza kuamua kisusa tu na uwekezaji wake hewa na tutakarudi matopeni
 
uyu jamaa ni mpiga kampeni wa engineer asikusumbue [emoji14]

Je Samatta anaweza kuja huku akiwa bado kwenye kiwango chake? Yani bado ni mchezaji anaehitajika huko ulaya kisha aje kucheza Simba Sc?

Siku ukiona Samatta karudi bongo ujue ni garasa tayari.
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.

Yule muhindi ni tapeli, hebu soma jinsi yanga watakavoipata thaman halisi ya Club yao na uwekezaji utakavo kuwa.

“Asilimia 49 zimegawanywa kwa watu wanne tofauti ambao watakuwa na uwiano wa asilimia 12 kutoka taasisi au watu tofauti tofauti ambao vyanzo vya mapato hawashabiani kimapato kutakuwa na kampuni maalumu itakayofanya kazi ya kujua thamani ya klabu na wataweka wazi hadharani na mwenye uwezo wa kununua hisa atapata nafasi hiyo bila upendeleo wowote” - Injinia Hersi kuhusu uwekezaji ndani ya Yanga

Sisi mbumbumbu rage hakukosea kutubatiza hili jina,, leo hii mo anaweza kuamua kisusa tu na uwekezaji wake hewa na tutakarudi matopeni
 
Hata ntibanzonkiza mlituambia amecheza Barcelona mwisho wa siku akawatoroka kambini bila taarifa.
 
Kati ya Ntibanzokiza na Yanga SC nani alikuwa anamuhitaji mwenzake zaidi.?

Fikiria kwa kutumia ubongo na sio Uloto wa ugokoni.
 
Key point ni neno "mchezaji hatari" hayo mengine umeyasema wewe, hakuna mtu timamu anaeweza kushangaa mchezaji kutoka ulaya kuja bongo.

Mshangao unakuja pale "mchezaji hatari" anapotoka ulaya kuja bongo, hilo swala la kustaajabisha sana.

Ni kama mlipomtambulisha Pablo kwa ni kocha kutoka REAL MADRID…!!!! Haikutuingia akilini kabisa….!!!
 
Gaël Bigirimana ni raia wa Burundi anayejiunga na Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania akitokea Glentoran FC iliyopo United Kingdom.

Yanga SC wamekamilisha dili hilo kwa dau lisilowekwa bayana (undisclosed fee). Gael atajiunga na mabingwa hao kwa ajili ya msimu ujao.

Taratibu zote za Usainishaji mikataba linaendelea usiku huu hapa makao makuu ya Yanga SC.

Gael ni kiungo mchezeshaji.

View attachment 2282848
Ivi kuna mtu anajua kama Solomon Kalou yule wa chelsea, lyon ya france ...Solomon alijiunga na miamba fulan ya Eritrea lkn hata CAF CL hajafika 🤣🤣🤣🤣🤣 wachezaji hawa ni wale ambao wazungu wame wapa second chance na kugundua hawabebeki .....Alex Song yule wa Arsenal na Barcelona hata makundi ya CAF CCC hakukanyaga 🤣🤣🤣🤣 hapa ni muendelezo wa utopolo kupigwaa
 
Mchezaji mwenyewee Alisha staafu, na kuwa ktk kiwanda cha bia, katimuliwa huko, ndo Rais mpyaa kamuokota bureee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] byuti byuti.
FB_IMG_16574404710413735.jpg
 
Kama ni Mrundi maana yake Cedric Kaze atakuwa ana ABC zake. All the best Wananchi kwenye michuano ya Kimataifa msimu unao.

Maana kwenye ligi ya ndani hamkuwa na mpinzani! Imagine mlichukua Ngao ya Jamii, ubingwa wa ligi kuu na ubingwa wa Shirikisho! Na ikumbukwe mlitangazwa kuwa mabingwa wa ligi kuu huku mkiwa mna michezo kadhaa mkononi!

Kwa sasa kilichobakia ni kung'ara tu kimataifa. Wale wengine waacheni waendelee kushabikia usajili wenu! Wakija kushtuka kutoka usingizini, CEO wao atakuwa ameshawapiga na kitu kizito kwenye vichwa vyao.
Kama sio wewe vile
 
Sasa kama alicheza enzi hizo na Arteta na mpaka sasa mwenzake ni kocha kwa miaka kazaa na kazeeka, yeye atakuwa bado na miaka 28 kama mnavyojaribu kuaminisha watu??

😂😂
Isije ikawa mlipishana kiswahili tu sababu ya majina kufanana

Kwani wao walisema alicheza na Arteta au Artulo wa kwenye Money Heist?

1687463665757.png
 
Back
Top Bottom