Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,889
Huyu anacheza position gani usikute ni keeper?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu anacheza position gani usikute ni keeper?
Wamemuona Sasa mtu career yakeana goal 3 match 300 wampeleke wapkweli hata kina Sunderland,Green forest ,Yeovil ,sportmouth hawajamwona ila wamemwona Yanga....achilia mbali EPL na championship hata daraja latu hawajamwona.
Naamini hata kanuni za ligi huzijuiNa wengine wako busy kumshangilia Mpole na Sopu
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.Jibu
Kwa nini kukaa kimya kwa Simba katika usajili kunawauma Yanga? [emoji23][emoji23]
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.Wamemuona Sasa mtu career yakeana goal 3 match 300 wampeleke wap
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.uyu jamaa ni mpiga kampeni wa engineer asikusumbue [emoji14]
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.Je Samatta anaweza kuja huku akiwa bado kwenye kiwango chake? Yani bado ni mchezaji anaehitajika huko ulaya kisha aje kucheza Simba Sc?
Siku ukiona Samatta karudi bongo ujue ni garasa tayari.
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.Hata ntibanzonkiza mlituambia amecheza Barcelona mwisho wa siku akawatoroka kambini bila taarifa.
Key point ni neno "mchezaji hatari" hayo mengine umeyasema wewe, hakuna mtu timamu anaeweza kushangaa mchezaji kutoka ulaya kuja bongo.
Mshangao unakuja pale "mchezaji hatari" anapotoka ulaya kuja bongo, hilo swala la kustaajabisha sana.
Afadhali wewe umekuwa mwelewa, hakuna mchezaji pale na haiingii akilini kabisa.Ni kama mlipomtambulisha Pablo kwa ni kocha kutoka REAL MADRID…!!!! Haikutuingia akilini kabisa….!!!
Ivi kuna mtu anajua kama Solomon Kalou yule wa chelsea, lyon ya france ...Solomon alijiunga na miamba fulan ya Eritrea lkn hata CAF CL hajafika 🤣🤣🤣🤣🤣 wachezaji hawa ni wale ambao wazungu wame wapa second chance na kugundua hawabebeki .....Alex Song yule wa Arsenal na Barcelona hata makundi ya CAF CCC hakukanyaga 🤣🤣🤣🤣 hapa ni muendelezo wa utopolo kupigwaaGaël Bigirimana ni raia wa Burundi anayejiunga na Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania akitokea Glentoran FC iliyopo United Kingdom.
Yanga SC wamekamilisha dili hilo kwa dau lisilowekwa bayana (undisclosed fee). Gael atajiunga na mabingwa hao kwa ajili ya msimu ujao.
Taratibu zote za Usainishaji mikataba linaendelea usiku huu hapa makao makuu ya Yanga SC.
Gael ni kiungo mchezeshaji.
View attachment 2282848
Leo ni Thursday tuna ile wanaita TBTUmepigwa wapi?
AloooSafi sana
Kama sio wewe vileKama ni Mrundi maana yake Cedric Kaze atakuwa ana ABC zake. All the best Wananchi kwenye michuano ya Kimataifa msimu unao.
Maana kwenye ligi ya ndani hamkuwa na mpinzani! Imagine mlichukua Ngao ya Jamii, ubingwa wa ligi kuu na ubingwa wa Shirikisho! Na ikumbukwe mlitangazwa kuwa mabingwa wa ligi kuu huku mkiwa mna michezo kadhaa mkononi!
Kwa sasa kilichobakia ni kung'ara tu kimataifa. Wale wengine waacheni waendelee kushabikia usajili wenu! Wakija kushtuka kutoka usingizini, CEO wao atakuwa ameshawapiga na kitu kizito kwenye vichwa vyao.
Ningekuwa mimi nimeandika hivyo ungekuja ku comment hiviBigirimana nilimkubali Sana alipokuwa Newcastle, kama atakuwa na kiwango chake kile atawasaidia Sana.
Isije ikawa mlipishana kiswahili tu sababu ya majina kufananaSasa kama alicheza enzi hizo na Arteta na mpaka sasa mwenzake ni kocha kwa miaka kazaa na kazeeka, yeye atakuwa bado na miaka 28 kama mnavyojaribu kuaminisha watu??
😂😂