Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Jun 23, 2023 #121 Scars said: Kama sio wewe vile Click to expand... Kama siyo mimi kivipi Bwashee!! Nimewatabiria Wananchi mafanikio makubwa Kimataifa baada ya kufanya vizuri kwenye ligi ya ndani, na kweli wakafanya hivyo. Hayo ya Bigirimana yalishapita.
Scars said: Kama sio wewe vile Click to expand... Kama siyo mimi kivipi Bwashee!! Nimewatabiria Wananchi mafanikio makubwa Kimataifa baada ya kufanya vizuri kwenye ligi ya ndani, na kweli wakafanya hivyo. Hayo ya Bigirimana yalishapita.
Yoav Gallant JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 2,122 Reaction score 4,699 Jun 23, 2023 #122 Scars said: Kama sio wewe vile Click to expand... Kakosea kitu gani hapo? Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Scars said: Kama sio wewe vile Click to expand... Kakosea kitu gani hapo? Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 16,908 Reaction score 19,123 Jun 23, 2023 #123 hajapewa asante huyu?