Jana uongozi wa Yanga wamemtambulisha mchezaji aliwahi kuichezea newcastle united Gael Birigimana.
Tangu atambulishwe kijana huyu kuna maneno mengi yamekuwa yakizungumzwa ikiwemo Takwimu zake mashabiki Watanzania wanaonesha wanapenda soka ila hawalijui soka Gael Birigimana ni kiungo mkabaji sio mshambuliaji wala sio kiungo mshambuliaji so huwezi kumpima kwa magoal wala assist kama wanachofanya mashabiki mtandaoni yule utampima kwa aina ya soka lake, duel won, interceptions n.k.
Wengine wakaenda mbali wakasema ni flop hakuna mchezaji anayetoka ulaya aje Bongo kwenye Hili naungana nao lakini mchezaji ambaye ameshuka kiwango akiwa ulaya huwezi kufafanisha na mchezaji alishuka kiwango Afrika muangalie Saidoo alivyokuja hapa nini amefanya hapa bongo kaonesha kiwango kikubwa sana, Gael Birigimana ni mchezaji amepata uzoefu wa kutosha sana akiwa Ulaya.
Gael Birigimana kacheza kwenye ligi yenye ushindani mkubwa yenye kutumia nguvu, akili na kasi kacheza dhidi ya Chelsea yenye Hazard, Lampard kacheza dhidi ya Arsenal yenye Ozil, Carzola kacheza dhidi ya Spurs yenye Harry Kane, Eriksen kacheza dhidi ya Man UTD ndio atashindwa kucheza dhidi ya TP Mazembe au Simba?
Uzoefu aliyonao utawasaidia sana Yanga kwenye michuano ya CAF.
Mimi nimebahatika kumuona akiwa Newcastle kiukweli ni mchezaji mzuri anayeweza kazi chafu.