Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Makelele hayo yamekuwepo kila siku huko gaza na occupied west bank!Sema wewe umaysikia sasa baada ya hii Gaza war!Ila vilio kwa wapalestina havijawahi kukoma,dunia iliwapa mgongo walati wanapitia machungu!Walau sasa mpaka unasikia inazungumzwa habari ya two state solution mpaka na US na washirika wake,basi ujue safari hii makelele yao yamesikiwa!Sasa kama hali iko hivo toka zamani, si wameshazoea? Kama wamezoea basi hakuna sababu ya kupiga makelele eti Wapalestina tunaonewa. Tutulie huku tuki-enjoy mtifuano unaoendelea uwanjani Gaza baina ya wababe HAMAS na nguli mbobezi wa vita IDF.