baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Kashasema Druze, hajui hata Druze ni nini anajiaibisha tu hapo, ye akisikia tu jina la kiarabu basi anajua ni waisilamu na Hamas anakimbilia kuja kupost humu.Hamas hana hata bunduki ya kujitetea.. mtoa mada umejuaje kama huyo ni hamas???
Druze wengi wapo Jeshi la Israel and has nothing to do with Hamas, hapo pengine unakuta ni IDF kashadata kwa kuua watoto.