Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Vikosi vya IDF vilimpiga risasi na kumuua gaidi Mwarabu-koko Sami Hassan Hussein Zawaida, mwenye umri wa miaka 32 na kutoka kambi ya Jenin, baada ya kujaribu kufanya shambulio la kugonga kwa gari wanajeshi waliokuwa wakifanya operesheni katika eneo la Jenin, huko Yudea na Samaria (Ukingo wa Magharibi). Hakuna wanajeshi wa Israel waliojeruhiwa.