Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
🔴 Salah Bardawil, mkuu wa ofisi ya mipango na maendeleo ya Hamas, aliondolewa kusini mwa Gaza. Bardawil aliwahi kuwa gaidi mkuu katika ofisi ya kisiasa ya Hamas, na kama sehemu ya jukumu lake, aliongoza mipango ya kimkakati na kijeshi ya Hamas. Leo hii ameingia kwenye 18 za majeshi ya Israel na kuuwawa bila huruma yoyote.