dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 25,370
- 57,943
Wakati maandiko mengine yakisema uzuri wa mbinguni ni wa kiwango ambacho akili zetu hazijawahi kuwaza; ni mbali kabisa kushinda ufahamu wetu; jamaa yeue kachukua hisia za 6x6 kageuza ndio uzuri wa peponi!Ndo tulivo aminishwa hivo kutoka kweny Kile kitabu
