Gaidi Salah Bardawil, mkuu wa ofisi ya mipango na maendeleo ya Hamas ameangamizwa

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
🔴 Salah Bardawil, mkuu wa ofisi ya mipango na maendeleo ya Hamas, aliondolewa kusini mwa Gaza. Bardawil aliwahi kuwa gaidi mkuu katika ofisi ya kisiasa ya Hamas, na kama sehemu ya jukumu lake, aliongoza mipango ya kimkakati na kijeshi ya Hamas. Leo hii ameingia kwenye 18 za majeshi ya Israel na kuuwawa bila huruma yoyote.

 
Nimeshikwa na wivu mkubwa sana kwa tukio hilo.Hofu yangu ni yeye kutumalizia mabikra na mvinyo mwororo.
 
Kula Bomu iloo 🔥🔥💥💥🔥utajikuta akheraaa ukiwa ume zungukwa na mabikra 72 na vijito vikitiririsha wine
Mm sitaki vijito, nisije kulewa nikashindwa kuwapelekea moto hao mabikra mana Naskia kutoa bikra sio kazi nyepesi au mabikra wa huko n kuchomeka tuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…