The indigenous
JF-Expert Member
- May 14, 2018
- 312
- 143
usilishe watu uwongoTaarifa toka kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la la Gairo zinasema kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia CCM Ahmed Shabiby amepita bila kupingwa kutokana na wagombea wa vyama vya CHADEMA, UPDP na CUF ambao walirudisha fomu saa 11 jioni badala ya muda wa kisheria wa saa 10 jioni
Njama tu za CCM na Tume. Iweje haya mambo yaanze kuonekana kwa wingi awamu Hii....!?Dah!!!..yaani after all the hustle na vikao unachelewa kurudisha fomu..kweli???
Taarifa toka kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la la Gairo zinasema kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia CCM, Ahmed Shabiby amepita bila kupingwa kutokana na wagombea wa vyama vya CHADEMA, UPDP na CUF ambao walirudisha fomu saa 11 jioni badala ya muda wa kisheria wa saa 10 jioni.
Wamefika bei. Upinzani Nchii hii bado Sana.Taarifa toka kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la la Gairo zinasema kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia CCM, Ahmed Shabiby amepita bila kupingwa kutokana na wagombea wa vyama vya CHADEMA, UPDP na CUF ambao walirudisha fomu saa 11 jioni badala ya muda wa kisheria wa saa 10 jioni.
Sio hujuma mkuu, hao waliopitishwa na upinzani ni cheap politicians plus njaaHujumu tu hii!!
Watarudisha fedha za watu? Kuna makosa mengine unaona kabisa yamepangwa makusudiChadema pelekeni mapingamizi haraka Sana huuu uhuni wa kupita bila kupingwa haupo
kuzidi wewe nyumbu mkuu?Sidhani kama ntakua nakosema nikisema viongozi wengi na wagombea wengi wa upinzani nchi hii ni MANYUMBU
Sasa mkuu hivi unapelekaje form saa kumi na moja? Si upumbavu huo?kuzidi wewe nyumbu mkuu?
Wa Ludewa, katibu wa Wilaya wa CHADEMA ameuza fomu ya mgombea wa CHADEMA wa Ubunge na Udiwani na yeye kutoroka. Katibu alimshawishi mgombea kuwa fomu ikae kwake isije ikaporwa na CCM. Mgombea akamkabidhi Katibu.Duh mbunge wa 4 huyo,nape,majaliwa,na ludewa,then shabiby
Huu Ni usaliti na hujuma wanastahili kuchwapwa risasi pumbavuWa Ludewa, katibu wa Wilaya wa CHADEMA ameuza fomu ya mgombea wa CHADEMA wa Ubunge na Udiwani na yeye kutoroka. Katibu alimshawishi mgombea kuwa fomu ikae kwake isije ikaporwa na CCM. Mgombea akamkabidhi Katibu.
Mgombea alipoenda kwa Katibu kuchukua fomu, Katibu akamwambia kuwa haionekani, na baada ya hapo akatoweka, akidai amesafiri kwenda Dodoma.
Yeye katibu alikuwa akigombea nafasi ya udiwani, akaamua kutokurudisha fomu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wa kurudisha Fomu ilikuwa saa 10; hao wa saa 11 nani alipokea? Taarifa inatakiwa usomeke ".......... ...Baada ya kushindwa kurejesha fomu"Taarifa toka kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la la Gairo zinasema kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia CCM, Ahmed Shabiby amepita bila kupingwa kutokana na wagombea wa vyama vya CHADEMA, UPDP na CUF ambao walirudisha fomu saa 11 jioni badala ya muda wa kisheria wa saa 10 jioni.
HUU NDO UKWELIWahuni hao,wamehongwa.unarudisha fomu saa 11 jioni?
Sasa baada ya kuwahujumu wapinzani madhara yake ndio kodi za miamalaSiku nzima wanakimbizwa na watekaji wengine walikua chini ya ulinzi wameachiwa baada ya muda kuisha.
Njama tu za CCM na Tume. Iweje haya mambo yaanze kuonekana kwa wingi awamu Hii....!?