Uchaguzi 2020 Gairo: Mgombea ubunge kupitia CCM, Ahmed Shabiby apita bila kupingwa baada ya wagombea wa CHADEMA, CUF na UPDP kurejesha fomu kwa kuchelewa

Uchaguzi 2020 Gairo: Mgombea ubunge kupitia CCM, Ahmed Shabiby apita bila kupingwa baada ya wagombea wa CHADEMA, CUF na UPDP kurejesha fomu kwa kuchelewa

Taarifa toka kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la la Gairo zinasema kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia CCM Ahmed Shabiby amepita bila kupingwa kutokana na wagombea wa vyama vya CHADEMA, UPDP na CUF ambao walirudisha fomu saa 11 jioni badala ya muda wa kisheria wa saa 10 jioni
usilishe watu uwongo
 
Taarifa toka kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la la Gairo zinasema kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia CCM, Ahmed Shabiby amepita bila kupingwa kutokana na wagombea wa vyama vya CHADEMA, UPDP na CUF ambao walirudisha fomu saa 11 jioni badala ya muda wa kisheria wa saa 10 jioni.

This is beyond ridiculous. Yaani wote hawa walipakizana kwenye Bajaj ili warudishe fomu mapema?

Amandla...
 
Upinzani bado muda kulinganishwa na chama tawala (CCM).
Hata hivyo, ushindi wa CCM unatakiwa uwe wa haki na uwazi bila figisu na upendeleo ili kuweka heshima kwa chama na taifa kwa ujumla.
 
Taarifa toka kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la la Gairo zinasema kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia CCM, Ahmed Shabiby amepita bila kupingwa kutokana na wagombea wa vyama vya CHADEMA, UPDP na CUF ambao walirudisha fomu saa 11 jioni badala ya muda wa kisheria wa saa 10 jioni.
Wamefika bei. Upinzani Nchii hii bado Sana.
 
Hao wachunguzwe. Kuna viashiria vya rushwa. Kweli mgombea ubunge unarudisha fomu saa 11 jioni???.
 
Hao wapelekwe Takukuru wahojiwe kuna viashiria vya rushwa hapa, nadhani kila mmoja alidhani ni yy tu ndiye aliyepewa, ili ajicheleweshe, kumbe jamaa kawazungukia wote, shabiby hashindwi kugawa 20m kwa kila mmoja hasa ukizingatia walikua wanajua fika kumtoa jamaa pale ni ngumu
 
Duh mbunge wa 4 huyo,nape,majaliwa,na ludewa,then shabiby
Wa Ludewa, katibu wa Wilaya wa CHADEMA ameuza fomu ya mgombea wa CHADEMA wa Ubunge na Udiwani na yeye kutoroka. Katibu alimshawishi mgombea kuwa fomu ikae kwake isije ikaporwa na CCM. Mgombea akamkabidhi Katibu.

Mgombea alipoenda kwa Katibu kuchukua fomu, Katibu akamwambia kuwa haionekani, na baada ya hapo akatoweka, akidai amesafiri kwenda Dodoma.

Yeye katibu alikuwa akigombea nafasi ya udiwani, akaamua kutokurudisha fomu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mgombea yoyote wa upinzani aliyeshindwa kurudisha fomu ndani ya muda katika jimbo la Gairo.
Hujuma zote zimefanywa na msimamizi wa uchaguzi akishirikiana na vyombo vya dola ili ionekane wamechelewa na kuenguliwa.
 
1598417036942.png
 
Wa Ludewa, katibu wa Wilaya wa CHADEMA ameuza fomu ya mgombea wa CHADEMA wa Ubunge na Udiwani na yeye kutoroka. Katibu alimshawishi mgombea kuwa fomu ikae kwake isije ikaporwa na CCM. Mgombea akamkabidhi Katibu.

Mgombea alipoenda kwa Katibu kuchukua fomu, Katibu akamwambia kuwa haionekani, na baada ya hapo akatoweka, akidai amesafiri kwenda Dodoma.

Yeye katibu alikuwa akigombea nafasi ya udiwani, akaamua kutokurudisha fomu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu Ni usaliti na hujuma wanastahili kuchwapwa risasi pumbavu
 
Kuna Uwezekano wa Rushwa ila sio kote , fikiria Jimbo kama Mtama kwa Nape kweli mpinzani Seleman Methew amuhonge pesa msimamizi wa uchaguzi ili iweje ??? mkakati wa ccm ni Nape apite bila kupingwa ili atumike kumpigia kampeni Magufuli full time , ni game plan , the sama kwa majaliwa .......wagombea wamekuwa wakitoweka ....hii ni aibu sana na kwa mwanasiasa mwenye mipango ya mbali kisiasa huwezi kufanya usaniii wa aina hiii...
Mfano mzuri ni Januari Makamba yeye hajafanya hatua yeyote ya kuwahujumu wagombea wenzake na sana sana amewatia moyo washindani wake , huo ndio ustaarabu, sasa waziri mkuu mzima au Nape kweli unaogopa ushindani ...?
 
Taarifa toka kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la la Gairo zinasema kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia CCM, Ahmed Shabiby amepita bila kupingwa kutokana na wagombea wa vyama vya CHADEMA, UPDP na CUF ambao walirudisha fomu saa 11 jioni badala ya muda wa kisheria wa saa 10 jioni.
Mwisho wa kurudisha Fomu ilikuwa saa 10; hao wa saa 11 nani alipokea? Taarifa inatakiwa usomeke ".......... ...Baada ya kushindwa kurejesha fomu"
 
Back
Top Bottom