Huo mtindo ni kwa sababu ya erosion Pumbu zilikuwa zinatafunwaHahahahaha, namba mbili za Mabweni yote pale hiyo ilikuwa ni sifa yake. Unatoka rum kwenda kuoga uchi na kurudi uchi. So inakuja pale akipita Ticha wa Kike kwenye korido nje pale, lazima akuone!!
likuUnamuonyesha tu,Nliwahi kumuonyesha mama Asenga mashine,Kasimama mlangoni nikageuzia kwake,Kesi ilikua kubwa hatari
Huo mtindo ni kwa sababu ya erosion Pumbu zilikuwa zinatafunwa
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Au kulisha Nguruwe!!Aliniacha kesi baadae ikaenda kwa Msombwa(msomba), Adhabu kuchunga wiki
alifaa kuwa mwanasheria, ha ha ha haMnamkumbuka Akida mswahili????
uliwezaje kustahimili ukali wake huyu mamaUnamuonyesha tu,Nliwahi kumuonyesha mama Asenga mashine,Kasimama mlangoni nikageuzia kwake,Kesi ilikua kubwa hatari
Kuna Madame alikuwaga mbabe saana sikumbuki anaitwa nan bonge na anamwili mkubwa, siku moja akaingia kwenye mabafu ya pale chai... Jamaaaa walipo sikia Madame anakuja wakaanza kupaka sabuni vikojoleo vyao wakavisimamisha.Unamuonyesha tu,Nliwahi kumuonyesha mama Asenga mashine,Kasimama mlangoni nikageuzia kwake,Kesi ilikua kubwa hatari
Defender ipo.... Rasta yupo.sioni mkitaja Mr Mbunda, Saranga, Mwaipopo, Salumu. etc How about Defender 110 vip ipo road au ilishakufa, mana ndio ulikuwa usafri wa bombo kupeleka wagonjwa mahtuti wa malaria, hajambo mpishi RASTA
ha ha ha ha ha nina zaidi ya 22yrs toka niondoke pale bado wapo tu kazini, vip hawastafu..... basi na lile lori la kubebea kuni liko hai au vipDefender ipo.... Rasta yupo.
Lile roli halipo. Wakati naingia pale lilikuwa limepakiwa pale mbele ya shule.ha ha ha ha ha nina zaidi ya 22yrs toka niondoke pale bado wapo tu kazini, vip hawastafu..... basi na lile lori la kubebea kuni liko hai au vip
Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
Aliitwa Naburi.Kuna Madame alikuwaga mbabe saana sikumbuki anaitwa nan bonge na anamwili mkubwa, siku moja akaingia kwenye mabafu ya pale chai... Jamaaaa walipo sikia Madame anakuja wakaanza kupaka sabuni vikojoleo vyao wakavisimamisha.
Ilikuwa kesi saana.
Huyo Madame Alisha fariki. R.i.p
Hahhaha Naburi alitujambisha saana. Kuna wana walikuwa wanawafukuzia wale mabinti zake sijui walifanikiwaAliitwa Naburi.
Alikuwa mwanamke wa shoka.
Alikuwa anabadilisha gari kila siku.