Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

Hahahahaha, namba mbili za Mabweni yote pale hiyo ilikuwa ni sifa yake. Unatoka rum kwenda kuoga uchi na kurudi uchi. So inakuja pale akipita Ticha wa Kike kwenye korido nje pale, lazima akuone!!
Huo mtindo ni kwa sababu ya erosion Pumbu zilikuwa zinatafunwa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Noma sana. Mmenikumbusha, Kahawa, Mkonge, Pamba &Chai, duuuh, wakati wa msosi ukifika kiongozi wa jikoni hapigi Kengele, anachukua tu lile chuma na kulipiga chini, watu wote wanahamia Dinning!!
Huo mtindo ni kwa sababu ya erosion Pumbu zilikuwa zinatafunwa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Hakunifundisha,Alikua busy na watu wake wa CBA
 
sioni mkitaja Mr Mbunda, Saranga, Mwaipopo, Salumu. etc How about Defender 110 vip ipo road au ilishakufa, mana ndio ulikuwa usafri wa bombo kupeleka wagonjwa mahtuti wa malaria, hajambo mpishi RASTA
 
Unamuonyesha tu,Nliwahi kumuonyesha mama Asenga mashine,Kasimama mlangoni nikageuzia kwake,Kesi ilikua kubwa hatari
Kuna Madame alikuwaga mbabe saana sikumbuki anaitwa nan bonge na anamwili mkubwa, siku moja akaingia kwenye mabafu ya pale chai... Jamaaaa walipo sikia Madame anakuja wakaanza kupaka sabuni vikojoleo vyao wakavisimamisha.

Ilikuwa kesi saana.

Huyo Madame Alisha fariki. R.i.p
 
sioni mkitaja Mr Mbunda, Saranga, Mwaipopo, Salumu. etc How about Defender 110 vip ipo road au ilishakufa, mana ndio ulikuwa usafri wa bombo kupeleka wagonjwa mahtuti wa malaria, hajambo mpishi RASTA
Defender ipo.... Rasta yupo.
 
Defender ipo.... Rasta yupo.
ha ha ha ha ha nina zaidi ya 22yrs toka niondoke pale bado wapo tu kazini, vip hawastafu..... basi na lile lori la kubebea kuni liko hai au vip

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
ha ha ha ha ha nina zaidi ya 22yrs toka niondoke pale bado wapo tu kazini, vip hawastafu..... basi na lile lori la kubebea kuni liko hai au vip

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
Lile roli halipo. Wakati naingia pale lilikuwa limepakiwa pale mbele ya shule.
Kabla hatujamaliza likatolewa lilikuwa chakavu saana.
 
Kuna Madame alikuwaga mbabe saana sikumbuki anaitwa nan bonge na anamwili mkubwa, siku moja akaingia kwenye mabafu ya pale chai... Jamaaaa walipo sikia Madame anakuja wakaanza kupaka sabuni vikojoleo vyao wakavisimamisha.

Ilikuwa kesi saana.

Huyo Madame Alisha fariki. R.i.p
Aliitwa Naburi.

Alikuwa mwanamke wa shoka.

Alikuwa anabadilisha gari kila siku.
 
Aliitwa Naburi.

Alikuwa mwanamke wa shoka.

Alikuwa anabadilisha gari kila siku.
Hahhaha Naburi alitujambisha saana. Kuna wana walikuwa wanawafukuzia wale mabinti zake sijui walifanikiwa
 
Back
Top Bottom