Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

Alitunyanyasa sna , ila tulikujaga waletea timbwili walikuja ondolewa karibia wote pale...akaletwa headmaster wa usagara markmaster, MGINA, Mziwanda wote wakpelekwa shule za ajabu ajabu
Wa zamani saana ni msocha na mshana mzee wa matuta.

Galanos ni shule nzuri saana. Mazingira yake mazuri. Mama prof Ndalichako alikuwa mwalimu hapo arudishe heshima yake.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaaa nakumbuka hiyo siku duka linaungua sa tisa usiku luzilo alikuja peku toka kwake....

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Haha...
Luziro muoga saaana. Mtu Safi sema wale wakina mgina na msocha walikuwa wanamharibu
 
Wa zamani saana ni msocha na mshana mzee wa matuta.

Galanos ni shule nzuri saana. Mazingira yake mazuri. Mama prof Ndalichako alikuwa mwalimu hapo arudishe heshima yake.
Kumbe Ndalichako aliwahi kuwa pale.

Tundu lissu huyu alinusurika kufukuzwa
Kutokana na harakati zake
Zitto kabwe badae alihama
Makamba jr alimalizia pale
 
Hahahhaa mkuu Hawa wa namba 16 sio wale walikuwa wanajiita kisosora cube???

Daby au ilikuwa Ni Dom gani
Nilikuwa Pamba flow ya chini cube ya viongozi.

Moja ya stori zilizotapakaa galaxy kipindi chetu ni form one kwenda kula maembe kule dairy halafu wakawatongoza watoto wa St na kutukanwa.
 
Haha...
Luziro muoga saaana. Mtu Safi sema wale wakina mgina na msocha walikuwa wanamharibu
Yaaa ila jamaa alikua poa sna sema alikua hana maamuzi yakutosha maana kigezo chakusoma pale nakurudi kuwakuta waliokufundisha ndo tatizo
 
Nilikuwa Pamba flow ya chini cube ya viongozi.

Moja ya stori zilizotapakaa galaxy kipindi chetu ni form one kwenda kula maembe kule dairy halafu wakawatongoza watoto wa St na kutukanwa.
Miaka ya nyuma wale watoto walikuwa free saana. Ila miaka yetu haikuwa hivyo mnasubiri paka joint mass
 
Nilikuwa Pamba flow ya chini cube ya viongozi.

Moja ya stori zilizotapakaa galaxy kipindi chetu ni form one kwenda kula maembe kule dairy halafu wakawatongoza watoto wa St na kutukanwa.
Nilikua kahawa cube 2, sema tulikua tunshika mkia kwenye usafi toka niingie mpaka namaliza

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Yaaa ila jamaa alikua poa sna sema alikua hana maamuzi yakutosha maana kigezo chakusoma pale nakurudi kuwakuta waliokufundisha ndo tatizo
Hiyo ndio shida. Aliwacha wakina mgina na mziwanda wanyanyase watu. Matokeo yake wakamharibia
 
Hiyo ndio shida. Aliwacha wakina mgina na mziwanda wanyanyase watu. Matokeo yake wakamharibia
Daaa wale jamaa walijisahaubsna maana sio kwa ubabe ule nakumbuka walishawahi kwebda chichi na lavida kuwacheki wadau
 
i am regretting my 2 yrs spell at galanos....my all time academic failure
Duh mkuu.. sorry
Ulikuwa mserbia au?? Maana hata wasebia walikuwa wanakaza wanatoka.
Au Ni zile combi mpya za pcm??
 
Dah....
Sorry nimepotea....kumbe ni uzi wa wakulima...[emoji2][emoji2][emoji2]

Mimi ni fundi nlisoma Tanga Tech....1991-1994...

Kikubwa nnachokumbuka ni watoto KO kuchukua mafundi kipindi cha graduu badili ya wakulima...[emoji2][emoji2][emoji2]

Those years anyway....sijui dot com mnafanyaje siku hizi...

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Daaa wale jamaa walijisahaubsna maana sio kwa ubabe ule nakumbuka walishawahi kwebda chichi na lavida kuwacheki wadau
Walienda hao si ndio wana kibao wakapewa suspension......
 
Yaan kifupi KO na Galax ndo kila kitu kule ufundi,usagara hawana link brooo
 
Mafundi hapa katikati mlikosa soko. Mliwekewa wasichana hapo hapo school.

K.o tulikuwa tuna tawala sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…