Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Wa zamani saana ni msocha na mshana mzee wa matuta.Alitunyanyasa sna , ila tulikujaga waletea timbwili walikuja ondolewa karibia wote pale...akaletwa headmaster wa usagara markmaster, MGINA, Mziwanda wote wakpelekwa shule za ajabu ajabu
Galanos ni shule nzuri saana. Mazingira yake mazuri. Mama prof Ndalichako alikuwa mwalimu hapo arudishe heshima yake.