Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha,alikuwa anahonga
Wadau walikuwa nuksi saana walianza kula hadi wadogo zake.ahaaaa mtoto kagawa k sana kwa wanafunzi niseme ukweli u na sijuh kama yupo salama ahaaaaa
Yeah...Hahahaha,alikuwa anahonga
Hivi daby pia tulikuwa naye?
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Duh,basi kumbe wadau wapo wengi humuYeah...
Mnooo. Ivunga piiaDuh,basi kumbe wadau wapo wengi humu
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Walikuwa wanafuata washkaji auWadau walikuwa nuksi saana walianza kula hadi wadogo zake.
Kule juu chai walikuwa wanaingia saana kipindi cha likizo
Kumbe!Mnooo. Ivunga piia
Kapitia wote?Huyo saint ivunga humwambii kitu juu ya watoto wa Mzee manara ( wakina amina)
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnamkumbuka yule daktari wetu alikuwa mkorofi kinoma,kuna siku nimeenda nina p.mbu erosion akanimaindi kinoma halafu akakataa kunipa dawa ananiambaia nende Bombo
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Nop. AnawafahamuKapitia wote?
Ila nyie mlikuwa wabaya sana
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Bila Shaka alikuwa madam Naburi ila alishafariki dah!!! R.I.PKuna Madame alikuwaga mbabe saana sikumbuki anaitwa nan bonge na anamwili mkubwa, siku moja akaingia kwenye mabafu ya pale chai... Jamaaaa walipo sikia Madame anakuja wakaanza kupaka sabuni vikojoleo vyao wakavisimamisha.
Ilikuwa kesi saana.
Huyo Madame Alisha fariki. R.i.p
Mama alikuwa msaada Sana kipindi cha maandalizi ya graduuHawakuwa watoto wake, Ila kuna graduu fulAni hivi alikuwa anakuja kwenye rehearsal na gari na wale wabinti.
Unakumbuka yeye ndio alikuwa anatumika saana kwenye kusafisha mazingira kipind cha graduu
Mkuu sitosahau pale tunaelekea kwa mkuu wa mkoa kilichotukuta dah!!Daaa wadau nishida sema kumbe msocha wakitambo maana mi nilimaliza 2013 six nilikua napelekeshana nae hatari -ndo tuliletaga mgomo mpaka tukachoma duka
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Ila McMaster hawezi sahau mwaka wetu 2013 maana ule mgomo ulimuharibia kazi hadi hakuja siku ya graduuAlitunyanyasa sna , ila tulikujaga waletea timbwili walikuja ondolewa karibia wote pale...akaletwa headmaster wa usagara markmaster, MGINA, Mziwanda wote wakpelekwa shule za ajabu ajabu
Unakumbuka jumatatu kutangaza matokeo ya usafi well dressed bed Ilikuwa poa SanaNilikua kahawa cube 2, sema tulikua tunshika mkia kwenye usafi toka niingie mpaka namaliza
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Panjab sijui Yuko wapi tu jamaaNdo ivo kaka yani nikikumbuka galax ...mzee panjabi
Humu wengi Sana we subiri utaona tuNimefurahi kuona kuna wadau wengi humu kumbe,Nlishangaa huu uzi nlipoweka 2015 haukuwa na watu,Nimefurahi kuwaona member wa JF ambao pia ni vijana wa msocha