Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

Wadau walikuwa nuksi saana walianza kula hadi wadogo zake.

Kule juu chai walikuwa wanaingia saana kipindi cha likizo
Walikuwa wanafuata washkaji au

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Mnamkumbuka yule daktari wetu alikuwa mkorofi kinoma,kuna siku nimeenda nina p.mbu erosion akanimaindi kinoma halafu akakataa kunipa dawa ananiambaia nende Bombo

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna Madame alikuwaga mbabe saana sikumbuki anaitwa nan bonge na anamwili mkubwa, siku moja akaingia kwenye mabafu ya pale chai... Jamaaaa walipo sikia Madame anakuja wakaanza kupaka sabuni vikojoleo vyao wakavisimamisha.

Ilikuwa kesi saana.

Huyo Madame Alisha fariki. R.i.p
Bila Shaka alikuwa madam Naburi ila alishafariki dah!!! R.I.P
 
Hawakuwa watoto wake, Ila kuna graduu fulAni hivi alikuwa anakuja kwenye rehearsal na gari na wale wabinti.

Unakumbuka yeye ndio alikuwa anatumika saana kwenye kusafisha mazingira kipind cha graduu
Mama alikuwa msaada Sana kipindi cha maandalizi ya graduu
 
Daaa wadau nishida sema kumbe msocha wakitambo maana mi nilimaliza 2013 six nilikua napelekeshana nae hatari -ndo tuliletaga mgomo mpaka tukachoma duka

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Mkuu sitosahau pale tunaelekea kwa mkuu wa mkoa kilichotukuta dah!!
 
Alitunyanyasa sna , ila tulikujaga waletea timbwili walikuja ondolewa karibia wote pale...akaletwa headmaster wa usagara markmaster, MGINA, Mziwanda wote wakpelekwa shule za ajabu ajabu
Ila McMaster hawezi sahau mwaka wetu 2013 maana ule mgomo ulimuharibia kazi hadi hakuja siku ya graduu
 
Nilikua kahawa cube 2, sema tulikua tunshika mkia kwenye usafi toka niingie mpaka namaliza

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Unakumbuka jumatatu kutangaza matokeo ya usafi well dressed bed Ilikuwa poa Sana
 
Nimefurahi kuona kuna wadau wengi humu kumbe,Nlishangaa huu uzi nlipoweka 2015 haukuwa na watu,Nimefurahi kuwaona member wa JF ambao pia ni vijana wa msocha
Humu wengi Sana we subiri utaona tu
 
Back
Top Bottom