Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

Dah kweli KAHAWA bweni langu mapemaaaaa chumba moja karinu sana na bafu ukitoka kitandani mapema ndaniiiiii
 
Msocha alikuwa rafiki yangu maana alivyokuwa ananibamba kwa makosa basi mi nampeleka kwa maongezi ya Kidhungu apo atoki tunapatana
 
kwa wale waliobahatika kuwepo kipindi cha Amina mtengenezaji maandazi, kipindi cha kande dah, haliendi we acha tu....
 
kwa wale waliobahatika kuwepo kipindi cha Amina mtengenezaji maandazi, kipindi cha kande dah, haliendi we acha tu....
 
wadau waliokuwepo kipindi cha kuomba aki zetu mpaka maandamano kwenda kwa mkuu wa mkoa kumbe nyuma kaja mkuu wa wilaya, mazee hatujui kwa kupita njia ya veta ile, dah kilichotokea mpaka leo nakumbuka hatari, wazee wa kazi FFU wakaja , mazeee kila mtu alipotea kivyake watu walichezea virungu dah hatari sanaaaa. ila ilisaidia maana wadogo zetu waliokuja wamepata huduma muhimu zilizokuwa zinaleta shida pale. Mcmaster aliondoshwaaaaaaa. Those days was hot.
 
Kuna mwalimu alikua anafundisha Chemia mwemba mrefu afu tungi sana wa 2012 mlimkuta??? Kuna mkasa wake siwezi kusahau
Haha nyie mmesoma galanos ya wapi hamuwajui walimu wenu...

Alikuwa anaitwa Omary. Huyu jamaa ni kichwa balaa....

Mimi nimeishi galaxy 6 years memory imejaa. Alikuwa anawadiss wale wazungu saana.
Yeah huyo alikuwa anaitwa Nani sijui alikuwa jembe saana.

Huyo alikuwa akiwa kuta mnatoroka sita watatu anawaruhusu watatu mnarudi nae anasema mkalinde shule.
 
IMG_20141108_103814.jpg
 
Daaa wadau nishida sema kumbe msocha wakitambo maana mi nilimaliza 2013 six nilikua napelekeshana nae hatari -ndo tuliletaga mgomo mpaka tukachoma duka

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
nimeuza sana lile duka nikiwa na Mwalimu Mshana ilikuwa 2001

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Haha nyie mmesoma galanos ya wapi hamuwajui walimu wenu...

Alikuwa anaitwa Omary. Huyu jamaa ni kichwa balaa....

Mimi nimeishi galaxy 6 years memory imejaa. Alikuwa anawadiss wale wazungu saana.

Siku moja Omary (nikiwa form 5) alitukuta kwenye uchochoro wa kwenda majani mapana tunafata koko,Tulikua na mbuzi,Eugene na jamaa wawili wa CBA,Akatuangalia akatujua nayeye alikua anaenda hukohuko.

Jamaa tuliogopa tukajua atalianzisha kumbe hakua na mpango huo akasema" HGE nendeni CBA rudini mkigeza hao mtakufa"
 
Paka Mimi naondoka ilikuwa pamba mkuu, pale juu nilikutania.

Nakumbuka kwenye mashindano ya usafi kuna siku pamba ilikuwa ya kwanza kila mtu alishangaaa
Nilishangaa sana manake kule tulikuwa tunapaita Eastern Blocks
 
Ul
2006-2008 nilikuwa pale daah baadhi niliwakuta hasa mwalimu wa kudumu wa pale Mh.Msocha

Ulikua na Kina Elias Marwa?? Nyie ni form 5 wetu sisi tukiwa 6. Unamkumbuka Silvester Cross Varra???
 
Haha nyie mmesoma galanos ya wapi hamuwajui walimu wenu...

Alikuwa anaitwa Omary. Huyu jamaa ni kichwa balaa....

Mimi nimeishi galaxy 6 years memory imejaa. Alikuwa anawadiss wale wazungu saana.
Daby wewe ulikuwa unakaa bweni gani
 
Siku moja Omary (nikiwa form 5) alitukuta kwenye uchochoro wa kwenda majani mapana tunafata koko,Tulikua na mbuzi,Eugene na jamaa wawili wa CBA,Akatuangalia akatujua nayeye alikua anaenda hukohuko.

Jamaa tuliogopa tukajua atalianzisha kumbe hakua na mpango huo akasema" HGE nendeni CBA rudini mkigeza hao mtakufa"
Omary alikuwa hana nooma.
Kwa wa-serbia watakuwa wanamkumbuka kwenye chemistry jamaa ni kichwa balaa.

Halafu kuna mwingine alikuwa anaitwa Jinyevu huyu jamaa asemble alikuwa akiongea ngeli hamuelewi.
 
Omary alikuwa hana nooma.
Kwa wa-serbia watakuwa wanamkumbuka kwenye chemistry jamaa ni kichwa balaa.

Halafu kuna mwingine alikuwa anaitwa Jinyevu huyu jamaa asemble alikuwa akiongea ngeli hamuelewi.
Waserbia watu walikuwa wanatuogopa sana kwa msuli mpka walimu wenyewe walikuwa wanajua hilo.
 
Back
Top Bottom