Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Yule jamaa wa ArushaCharles ara kwao ilikua wapi vile...
ila ile kundi ilimpa sana shida mgina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule jamaa wa ArushaCharles ara kwao ilikua wapi vile...
ila ile kundi ilimpa sana shida mgina
Hahhhahhha afu yule jamaana cjui mr black& yellow anajifanya traffic police wa mudaMkuu sitosahau pale tunaelekea kwa mkuu wa mkoa kilichotukuta dah!!
Kwao Dareda Manyara......Charles ara kwao ilikua wapi vile...
ila ile kundi ilimpa sana shida mgina
Haha nyie mmesoma galanos ya wapi hamuwajui walimu wenu...Kuna mwalimu alikua anafundisha Chemia mwemba mrefu afu tungi sana wa 2012 mlimkuta??? Kuna mkasa wake siwezi kusahau
Yeah huyo alikuwa anaitwa Nani sijui alikuwa jembe saana.
Huyo alikuwa akiwa kuta mnatoroka sita watatu anawaruhusu watatu mnarudi nae anasema mkalinde shule.
nimeuza sana lile duka nikiwa na Mwalimu Mshana ilikuwa 2001Daaa wadau nishida sema kumbe msocha wakitambo maana mi nilimaliza 2013 six nilikua napelekeshana nae hatari -ndo tuliletaga mgomo mpaka tukachoma duka
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Haha nyie mmesoma galanos ya wapi hamuwajui walimu wenu...
Alikuwa anaitwa Omary. Huyu jamaa ni kichwa balaa....
Mimi nimeishi galaxy 6 years memory imejaa. Alikuwa anawadiss wale wazungu saana.
Nilishangaa sana manake kule tulikuwa tunapaita Eastern BlocksPaka Mimi naondoka ilikuwa pamba mkuu, pale juu nilikutania.
Nakumbuka kwenye mashindano ya usafi kuna siku pamba ilikuwa ya kwanza kila mtu alishangaaa
Daby wewe ulikuwa unakaa bweni ganiHaha nyie mmesoma galanos ya wapi hamuwajui walimu wenu...
Alikuwa anaitwa Omary. Huyu jamaa ni kichwa balaa....
Mimi nimeishi galaxy 6 years memory imejaa. Alikuwa anawadiss wale wazungu saana.
Omary alikuwa hana nooma.Siku moja Omary (nikiwa form 5) alitukuta kwenye uchochoro wa kwenda majani mapana tunafata koko,Tulikua na mbuzi,Eugene na jamaa wawili wa CBA,Akatuangalia akatujua nayeye alikua anaenda hukohuko.
Jamaa tuliogopa tukajua atalianzisha kumbe hakua na mpango huo akasema" HGE nendeni CBA rudini mkigeza hao mtakufa"
Advance niliishi Pamba O'level nimeishi Mkonge na Kahawa.Daby wewe ulikuwa unakaa bweni gani
Nishakujua[emoji1] [emoji1]Advance niliishi Pamba O'level nimeishi Mkonge na Kahawa.
Waserbia watu walikuwa wanatuogopa sana kwa msuli mpka walimu wenyewe walikuwa wanajua hilo.Omary alikuwa hana nooma.
Kwa wa-serbia watakuwa wanamkumbuka kwenye chemistry jamaa ni kichwa balaa.
Halafu kuna mwingine alikuwa anaitwa Jinyevu huyu jamaa asemble alikuwa akiongea ngeli hamuelewi.