GALLERY: What are some rare pictures that you have never seen? Here are some of them...

The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
7,574
Reaction score
10,598
. Albert Einstein enjoying a summer day at Nassau Point, Long Island, New York in 1939







.Adolf Hitler practicing for his speech, 1925.

Heinrich Hoffmann, ambaye alikua mpiga picha wa Adolf, alimpiga picha hizi kwaajili ya maandilizi ya 'Speech'. Mpiga picha wake alimpiga mbele ya kioo na baadaye kuzitathmini na jinsi atakavyoonekana mbele ya umma.
Heinrich Hoffmann, aliagizwa picha hizi kua siri ila baada ya Adolf kuondoka duniani, studio yake ilitumika kupata picha hizi.
Hii ilikua ni mwaka 1925 baada ya Hitler kutoka kifungoni.





.Operation Babylift viatenamese orphans transported to America by plane 1975


Hii operation babylift ilitokea katika nchi ya Vietnam ambapo ilihusu kuokoa watoto pamoja na watu wengine na kuwapeleka America na nchi nyingine kama Australia, France, Germany na Canada. Hii ilitokana na vita iliyokuwepo eneo la South vietnam ambapo ilianza April 03-26,1975, badaye ilikuja kuitwa 'Republic of Vietnam'. Zaidi ya watu 3300 waliokolewa.

Hapa chini ni picha ikimwonyesha CIA akiokoa baadhi ya watu kwa kutumia ngazi, kipindi hiko 1975



.Testing new bullet proof vest, 1923

Ni askari wa Kimarekani, anaye-shoot alisimama umbali wa mita 3. Hii vest ilikua na uzito wa 5kg.


. Nagashaki, 20 minutes after atomic bombing in August 9,1945.

Hili bomu lilikua na uzito wa tani 5 na walilipa jina la 'Fat man'.

Waliopona kipindi kile, wanayo machache kusema walichoona
Your browser is not able to display this video.




. Mohammad Ali convinces a man against committing suicide, circa 1981.

Tukio hili Alli alilifabya 1981 mjini Los angeles, baada ya kupata taarifa, Alli alikimbilia eneo la tukio na hiki ndicho alichosema ""I’m your brother, I want to help you,"". Huyu alietaka kujirusha alikua muamerika mwenye asili ya Africa. Video fupi ya tukio 👇👇
Your browser is not able to display this video.













Still loading.......
 
Building of Berlin wall on August 2, 1961

Ukuta huu ulianza rasmi 1961, lengo ilikua kutenganisha West Germans from East ones na kipind kile haikurusiwa kwa yeyote kuvuka ukuta huu. Hao waliosimama pembeni ni maaskari wakisimamia zoezi zima.

👇👇Ujenzi ukiendelea👇👇

 
Nimefurahishwa na picha ya mohammed ally. Watu weusi wanna utu sana.
Tupac alisafiri umbali mrefu kwenda kumpa moyo mtoto aliyekuwa na kansa

pia michael jackson alifanya hivo kwa mtoto aliyeugua ukimwi enzi hizo ukimwi ndio umeanza
back to ally, jamaa alikuwa na akili sana ukitazama interviews zake nje ya uringo, ni mcheshi kama tyson


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…