Gambia: Dawa za kushusha homa na kutuliza maumivu zachunguzwa madai ya kusababisha vifo vya Watoto

Gambia: Dawa za kushusha homa na kutuliza maumivu zachunguzwa madai ya kusababisha vifo vya Watoto

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Serikali ya Gambia inachunguza iwapo vifo vya Watoto vilivyosababishwa na figo ndani ya miezi mitatu iliyopita kama vimesababishwa na dawa ya kushusha homa na kutuliza maumivu (paracetamol).

Bado haijajulikana ni kampuni ipi ya dawa ya maumivu ambayo inaweza kuwa chanzo ambapo miili iliyochunguzwa imeonesha kuwa dawa za maumivu zinaweza kuwa sababu.

Idadi kamili ya Watoto waliofariki haijawekwa wazi lakini hadi Agosti inadaiwa kulikuwa na vifo 28, baadhi ya dalili ni ugumu wa kutoa mkojo, homa na kutapika.


================================-

Authorities in The Gambia are investigating a paracetamol syrup’s suspected link to the deaths of dozens of children from kidney failure.

"Dozens of children have died in the last three months. Autopsies suggest the possibility of paracetamol,” the Reuters news agency quoted Mustapha Bittaye, the Gambia's director of health services, as saying.

E.coli has also been cited as a possible cause of death.

It is not clear which brand of the paracetamol is being investigated.

A current tally of the number of children who have died is not yet officially available, but last month the health ministry cited 28 deaths, according to Reuters.

"Hand washing should be encouraged in all clinics", The Gambia's the Standard paper quotes Dr Bittaye as saying.

The symptoms include difficulty in passing urine, fever and vomiting which could lead to kidney failure.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom