Gambling and betting addiction

Gambling is a curse my friend. Ukifanikiwa kuacha, kama utaweza kuacha kabisa ni nadra sana.

I bet someday you'll relapse. Time will tell.
Anaweza mimi nlichukua uamuzi siku moja tu na nikaacha na sasa ni mwaka wa 2 na miezi sijabet.
Nlikuwa nabet nakula ila meza ikageuza nikaanza kuliwa kwa kasi kuna siku nliliwa ela nyingi sana na ndipo nilisema naacha rasmi
 
Unabet 1 to 3m? Huna ada za kulipa? Tafuta majukumu, zaliasha utapata wa kuzitafuna bila wewe kuumia roho. MUNGU anakupitishia pesa kwenye kazi ya mikono yako unampa mhindi? Lazima uumie rohoni.
 
Hela nilio poteza leo imetosha kusema hapana huu ndo mwisho wa kubet naamini mwakani siku kama ya leo nitakuja kutoa ushuhuda wa kumaliza mwaka bila kamari.
 
Unabet 1 to 3m? Huna ada za kulipa? Tafuta majukumu, zaliasha utapata wa kuzitafuna bila wewe kuumia roho. MUNGU anakupitishia pesa kwenye kazi ya mikono yako unampa mhindi? Lazima uumie rohoni.

Nalipa ada, nalisha familia najiendeleza kwa namna flani. Kilicho niumiza ni kujipoteza katika addiction hii, sija wahi kupata addiction yoyote katika maisha yangu hata pornography ilinipita!! This is the first addiction na pia mbaya zaidi losses za 1M nililkua naweza kuzi mudu na ndo maana nimeweza kufanya upuuzi kama huu.
 
Hela nilio poteza leo imetosha kusema hapana huu ndo mwisho wa kubet naamini mwakani siku kama ya leo nitakuja kutoa ushuhuda wa kumaliza mwaka bila kamari.
Unaweza mkuu we futa ma apps yote.
Mimi kabla ya kubet kwa apps nlianza kuwa nacheza kamari ya karata toka niko darasa la nne. Nilikuwa addicted nayo kiasi kwamba siwez cheza karata kama sio kamari.
Nilikuja kuacha na mpaka leo sipendi mchezo wa karata kabisa.
Mwaka 2016 nikaanza kubet kwa apps nikawa addicted nlianza taratibu nami ikafika nikawa naweka kuanzia laki mpaka lak tano. Nikawa nakula ila ukaja msimu wa kuliwa nlikuwa napoteza pesa kuna siku nilipgwa ela nyingi nikataka kuirudisha nikapgwa tena nikataka tena rudisha nikapigwa na stake nilizokuwa naweza sikuwah weka stake kubwa hivyo.
Nikasema betting naacha na nikaacha
 
Asante sana kwa kunipa moyo.
 
Dunia ya sasa ukichomoka kwenye addiction ya Nyeto +porn unakutana na hii ya betting, ukichenga kidogo ya ulevi hii hapa

Guess what kuna watu wanazote hapo [emoji23][emoji23][emoji23]

I’m glad nime epuka hizo tatu zingine, naenda hadi miezi mitatu without alcohol. Nimeji shangaa hii addiction imenikutaje lakini nita pambana nayo.
 
Utarudi tu hapa

Miye hata nayafuta 700k ili kufunika gepu la mshahara wa mwezi huu na ule uliopita

Ni kupambana tu
 
Dunia ya sasa ukichomoka kwenye addiction ya Nyeto +porn unakutana na hii ya betting, ukichenga kidogo ya ulevi hii hapa

Guess what kuna watu wanazote hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah.!
Kwenye nyeto umenigusa mkuu nimeanza kunyetuka tangu 1994 mpaka leo naendelea kila siku nasema nipige cha mwisho niache then najikuta naendelea [emoji1787]
Kuna kipindi nilijikeep busy sana nikafanikiwa kutoboa mwezi ila kilichofuata nilirudi chamani kwa kasi ya 5G
 
pole sana kwa kupoteza muda ila ushawahi fikiria kuhusu bahati?

ukijiona huna bahati sio kwenye betting tu. Jiangalie maisha yako je ww ni mtu wa kukomaa au mambo yako yanaenda ki bahati bahati nikimaanisha kuwa unapo plan jambo lako utatumia nguvu lifanikiwe au unajikuta tu umefanya limeenda kama ulivyotaka hizo ndo zinaitwa bahati.

Haziji hivi hivi je? unatoa sadaka, unakumbuka wasiojiweza, Wazazi wana amani na furaha juu ya maisha yako, wazee wako karibu na wewe kama majibu umetayapata tathmini kipi kimepungua kwakua ukiweza kwenda sawa baraka na neema za ulimwengu zitakua juu yako.

Zile tunazipokea pale tunapotoa au kukaa na watu vizur ndio baraka na ndio zinazofanya smooth running ya maisha yako utajikuta unafanya jambo mpka unasema mungu kanibariki lakini kuna baraka na maombi ya matendo yako kwa jamii.

Kwahyo nakushauri usiache kamari hata mara moja ndugu ww jenga hazina yako.

Jiulize ww ni nani ukose wengine wana weka dau la shl.100 na wanabutua vizur tu ma milioni japo sio kila siku ila kwa stor yako naona kabisa ushaumia sana kwenye game.[emoji41]
 
I cross my fingers and hope for the best to happen. I placed my last bet today na nitajitahidi kuepuka haya maisha at all costs.
All the best ndugu yangu.
But nakupa siku 21 mpaka 40. Ukiweza kutoboa hizo bila kubet hakika utaacha, lakini ukishindwa ndani ya siku hizo, wewe sahau kuacha kubet.
 
Hakiamungu unaweza kujinyonga.nilirudi kijijin hivihivi,baada ya kuishiwa mtaji mpaka na cm kuuza ndipo nikaacha mpaka leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…