Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiweke mikeka ya hela nyingi weka stake 100,au betpawa mpaka tsh1 2wakla huumii
Anaweza mimi nlichukua uamuzi siku moja tu na nikaacha na sasa ni mwaka wa 2 na miezi sijabet.Gambling is a curse my friend. Ukifanikiwa kuacha, kama utaweza kuacha kabisa ni nadra sana.
I bet someday you'll relapse. Time will tell.
Anaweza mimi nlichukua uamuzi siku moja tu na nikaacha na sasa ni mwaka wa 2 na miezi sijabet.
Nlikuwa nabet nakula ila meza ikageuza nikaanza kuliwa kwa kasi kuna siku nliliwa ela nyingi sana na ndipo nilisema naacha rasmi
Unabet 1 to 3m? Huna ada za kulipa? Tafuta majukumu, zaliasha utapata wa kuzitafuna bila wewe kuumia roho. MUNGU anakupitishia pesa kwenye kazi ya mikono yako unampa mhindi? Lazima uumie rohoni.
Unaweza mkuu we futa ma apps yote.Hela nilio poteza leo imetosha kusema hapana huu ndo mwisho wa kubet naamini mwakani siku kama ya leo nitakuja kutoa ushuhuda wa kumaliza mwaka bila kamari.
Unaweza mkuu we futa ma apps yote.
Mimi kabla ya kubet kwa apps nlianza kuwa nacheza kamari ya karata toka niko darasa la nne. Nilikuwa addicted nayo kiasi kwamba siwez cheza karata kama sio kamari.
Nilikuja kuacha na mpaka leo sipendi mchezo wa karata kabisa.
Mwaka 2016 nikaanza kubet kwa apps nikawa addicted nlianza taratibu nami ikafika nikawa naweka kuanzia laki mpaka lak tano. Nikawa nakula ila ukaja msimu wa kuliwa nlikuwa napoteza pesa kuna siku nilipgwa ela nyingi nikataka kuirudisha nikapgwa tena nikataka tena rudisha nikapigwa na stake nilizokuwa naweza sikuwah weka stake kubwa hivyo.
Nikasema betting naacha na nikaacha
Umesahau na forex ama na yenyewe sio bettingDunia ya sasa ukichomoka kwenye addiction ya Nyeto +porn unakutana na hii ya betting, ukichenga kidogo ya ulevi hii hapa
Guess what kuna watu wanazote hapo 😂😂😂
Dunia ya sasa ukichomoka kwenye addiction ya Nyeto +porn unakutana na hii ya betting, ukichenga kidogo ya ulevi hii hapa
Guess what kuna watu wanazote hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Nayo ni betting ila wenyew wanaiita tradingUmesahau na forex ama na yenyewe sio betting
Utarudi tu hapaI’m an addict, yes leo nimekubali kuwa mimi ni addict wa michezo ya kamari. Sikuwa tayari ku accept hili swala na kila siku nilikua najipa moyo nita acha au huenda I will make through gambling and online sports betting.
Nilianza kamari back in 2014 and I blame myself for the addiction to get the best of me. Nimeishi sometimes maisha magumu sana chuoni kwa sababu ya betting which was a sign for me to quit but I didn’t.
Nakumbuka on my university graduation I just wanted that extra cash nika bet budget nzima nilopewa na my parents. I woke up the next morning with 40k with no new clothes or shoes plus a girlfriend to please and take care of for the next three days of the graduation hype, I made it through lakini sito sahau msoto nilopitia.
Fast foward namaliza uni napata kazi nzuri somewhere, I up my stakes to the mounts of 500k-1M. Unajikuta in a weekend unatoa 1M mpaka 3M then next week unatoka from 500k to (-3M) just chasing the losses . The adrenaline was more than that of alcohol or drugs I just wanted to continue sikutaka kuacha hata kidogo.
Had savings somewhere ikanibidi kuvunja account just to keep up with the lifestyle!, that account ilitoka kwenye some Ms mpaka sasa iko na 70k. To keep it short I have made losses, huge losses.
Una deposit 100k ijumaa jioni una bet na ku gamble online vya kutosha unafikisha let’s say 700k. Your mind tells you to withdraw ila una jiambia one last bet, unatafuta live play dakika ya 83 game ni 1-0 unasema hapa ni under 2.5 una stake one last bet of the night the whole 700k, guess what it’s the 94th minute na game imeisha 3-1. Unasema ngoja ni deposit 500k to chase the loss, guess what inaenda pia!!! The cycle continues all month!
Naweza sema I lost myself not my cash in all this facade!! Najiona nimepotea mimi hizi pesa zita tafutwa ila kwa namna kubwa kamari imeniharibia mipango yangu mingi sana.
But I give up now, I call it quits. I have learned my lesson now, ni muda wa ku fight hii addiction.
Day 0 of not placing a bet, here we go.
Dah.!Dunia ya sasa ukichomoka kwenye addiction ya Nyeto +porn unakutana na hii ya betting, ukichenga kidogo ya ulevi hii hapa
Guess what kuna watu wanazote hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
nipe soft yake mkuu kama unayo...Unajua ubaya wa addiction zoote zinacheza na ubongo, so kuishinda addiction haihitaji nguvu za mwili, inataka nguvu ya akili iishinde nguvu ya matamanio: Hiyo vita so mchezo
Soma kitabu cha your brain on porn
mwamba sjuia anatafta ma milioni ya nn wakat ma laki unabutua vizur tuUsitukimbie chamani we punguza madau kama ulikuw unaweka laki shuka mbka 30 aruta continua
All the best ndugu yangu.I cross my fingers and hope for the best to happen. I placed my last bet today na nitajitahidi kuepuka haya maisha at all costs.