Gambling and betting addiction


[emoji28] umeanza vizuri sana, anyways kama ni bahati nahisi mambo yangu makubwa maishani mwangu yame kuja kwa bahati bahati sana na huwa najihisi kama na bahati sana maishani. Asante kwa ushauri ndugu.
 
Hakiamungu unaweza kujinyonga.nilirudi kijijin hivihivi,baada ya kuishiwa mtaji mpaka na cm kuuza ndipo nikaacha mpaka leo.

Nimepoteza a year’s worth of savings kwa ajili ya hii kitu, leo nime hakikisha nime futa mpaka banking apps zote ili nisifanye deposit yoyote. Ni kama naanza upya kila kitu.
 
Anaweza mimi nlichukua uamuzi siku moja tu na nikaacha na sasa ni mwaka wa 2 na miezi sijabet.
Nlikuwa nabet nakula ila meza ikageuza nikaanza kuliwa kwa kasi kuna siku nliliwa ela nyingi sana na ndipo nilisema naacha rasmi
Ulibet kwa miaka mingapi?
Kama umecheza kamari kwa zaidi ya miaka 7 na kuendelea hapo kuacha kwa ghafla ni mtihani mzito.

Ndiyo, inawezekana kuacha, lakini siyo jambo rahisi hata kidogo. Addiction ya gambling and spots betting ni mbaya sana.
 
Ulibet kwa miaka mingapi?
Kama umecheza kamari kwa zaidi ya miaka 7 na kuendelea hapo kuacha kwa ghafla ni mtihani mzito.

Ndiyo, inawezekana kuacha, lakini siyo jambo rahisi hata kidogo. Addiction ya gambling and spots betting ni mbaya sana.

Nina 7 years na bet. Najua itakua ngumu lakini tuna take baby steps naamimi nikimaliza huu mwezi kama ulivo sema basi itakua ni mwanzo mzuri.
 
Nimepoteza a year’s worth of savings kwa ajili ya hii kitu, leo nime hakikisha nime futa mpaka banking apps zote ili nisifanye deposit yoyote. Ni kama naanza upya kila kitu.
kua na roho ngumu mm leo mwaka wa pili sitak kusikia hyo kitu.
 
Ulibet kwa miaka mingapi?
Kama umecheza kamari kwa zaidi ya miaka 7 na kuendelea hapo kuacha kwa ghafla ni mtihani mzito.

Ndiyo, inawezekana kuacha, lakini siyo jambo rahisi hata kidogo. Addiction ya gambling and spots betting ni mbaya sana.
Kwa miaka kama 3 mkuu
 
Kama ni addiction bhasi mimi nipo kote kote nina addiction ya punyeto, betting ..sina mpango wa kuacha.
Niache nyeto nitumbukie kwa Malaya nife na ukimwi? Niache betting hela zangu unataka nionge Wana wanawake?BIG NO.
Betting nilifundishwa na uncle nikiwa standard 5 mwaka 2004 meridian kariakoo,huu mwaka 10 betting hatujawahi kunitoa hasara.
Njoo nikupe darasa la betting
 

from your writing i can tell,you were a very good and strategic player.ulisahau tu one of the basic principles of gambling ya "do not run after the losses" na hapo ndio wengi wanapopotea.
this game like any other,is associated with luck.one must accept siku haziwezi fanana.u loose your first bet and second acha hiyo siku ipite usilazimishe tena.
 
Storry of my life, I am a workaholic ,yaani napiga kazi kweli kweli monday to Sunday),kwa mwezi natengeneza kama 7 to 8m,kwa mwezi napoteza 3 to 5M kwenye gambling,nilianza 2008 ,mpaka sasa sijaacha(new africa,las vegas,sea cliff ,online casino,zile local sijui cleopatra,za wachina zile za 200) casino zote hizo nina membership cards,nimekuwa sugu last week nilipoteza 5M in two days,yaani niliuza gari ili niache kamari,so kutoka ofisinj napanda dala dala straight home ,nikaanza kucheza online ,nikapigwa mpaka kuchakaa,hao princess wananipaga bonus ya mpaka laki 4 same to premier bet yaani huwa mpaka wananipigia kunipa offer na bonuses .


Nimejaribu kuacha mara kadhaa nikashindwa,manaake naacha miezi miwili ,nikirudia naliwa 2m au 3m

Dec 31 itakuwa tar yangu ya mwisho kucheza kamari,imetoka moyoni.nimrmshirikisha wife pia .nitafoward pesa yote kwa account ya wife then atanipa kidogo ya mafuta na matumizi yangu personal
 
Kosa kubwa sana watu wanalofanya kwenye betting ni kutaka kurecover loss muda huo ukipigwa.

Betting ni kama zilivyo biashara nyingine, huitaji kustake ukiwa umepanic. Ikitokes umepigwa ondoka, tuliza akili then rudi ubet baada ya siku kadhaa.

Pia kubet sio lazima iwe kila siku, jiwekee muda. Jiwekee limit kwenye betting, kwamba nikiliwa hii au nikila hapa ni mwisho.

All in all, betting inahitaji nidhamu ya hali ya juu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Umenena vyema mkuu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 

Pole sana kaka, each month huwa najikuta na extra cash nyingi after saving and stuff ambayo najikuta tu naiweka kwenye betting na mwisho wa siku najikuta imeenda. Mshirikishe wife, itakua mbaya kama mambo yataenda vibaya nyumbani then ukawa ndo chanzo and wife alikua na uwezo wa kukusaidia kuepukana na janga hili. All the best na mimi Mungu anipe nguvu nishindane na hili jambo.
 

.nitafoward pesa yote kwa account ya wife then atanipa kidogo ya mafuta na matumizi yangu personal
Yaani hapa ndio umeharibu kusema utaforward pesa kwenye account ya mkeo
 

Vyote hivo nimefanya, ila on a bigger picture hata pale unapo recover loss kwa formula ile ile ambayo unatumia always na bado matokeo yana enda kinyume ina kupa picha gani? Betting matokeo yake hayako pre-planned hivo at any time yanaweza kukuendea kombo.

Una weza kuendelea na betting endapo haiku athiri your mental state na everyday life ila it was different for me that’s why I called it quits.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…