tahan96
Member
- Apr 29, 2014
- 86
- 104
pole sana kwa kupoteza muda ila ushawahi fikiria kuhusu bahati?
ukijiona huna bahati sio kwenye betting tu. Jiangalie maisha yako je ww ni mtu wa kukomaa au mambo yako yanaenda ki bahati bahati nikimaanisha kuwa unapo plan jambo lako utatumia nguvu lifanikiwe au unajikuta tu umefanya limeenda kama ulivyotaka hizo ndo zinaitwa bahati.
Haziji hivi hivi je? unatoa sadaka, unakumbuka wasiojiweza, Wazazi wana amani na furaha juu ya maisha yako, wazee wako karibu na wewe kama majibu umetayapata tathmini kipi kimepungua kwakua ukiweza kwenda sawa baraka na neema za ulimwengu zitakua juu yako.
Zile tunazipokea pale tunapotoa au kukaa na watu vizur ndio baraka na ndio zinazofanya smooth running ya maisha yako utajikuta unafanya jambo mpka unasema mungu kanibariki lakini kuna baraka na maombi ya matendo yako kwa jamii.
Kwahyo nakushauri usiache kamari hata mara moja ndugu ww jenga hazina yako.
Jiulize ww ni nani ukose wengine wana weka dau la shl.100 na wanabutua vizur tu ma milioni japo sio kila siku ila kwa stor yako naona kabisa ushaumia sana kwenye game.[emoji41]
[emoji28] umeanza vizuri sana, anyways kama ni bahati nahisi mambo yangu makubwa maishani mwangu yame kuja kwa bahati bahati sana na huwa najihisi kama na bahati sana maishani. Asante kwa ushauri ndugu.