Gambling and betting addiction

Dah aisee Toka nioe mwali wa pwani sikuwahi Tena kupiga pull maana unakamuliwa zote
 
Ah bora hiyo mzeya sasa ungekuwa na addiction ya mbususu ndio balaa zaidi maaina mwaka wa 17 huu naweza njugu tuu hapa.
Pesa makaratasi utatafuta. Sasa mie huyu mdudu namtoaje kwenye damu yote addiction ya mbususu
 
Unajua ubaya wa addiction zoote zinacheza na ubongo, so kuishinda addiction haihitaji nguvu za mwili, inataka nguvu ya akili iishinde nguvu ya matamanio: Hiyo vita so mchezo

Soma kitabu cha your brain on porn
Sasa adfiction ya ngono ukiwa wasoma hicho kitabu tayari dushelele limesimama
 
We keep the counter. Challenge 90Days no gambling.. Keep it real broo
 
mzee wa michezo kubet king palace
 
Sasa adfiction ya ngono ukiwa wasoma hicho kitabu tayari dushelele limesimama
Mkuu

Hicho kitabu Lengo lake ni kujaribu kukupa picha ya kinachoendelea ndani ya ubongo wako pindi ukiwa na addiction, lakin suala la kutokq ni binafsi na halihitaji nguvu za mwili.
 
Hela nilio poteza leo imetosha kusema hapana huu ndo mwisho wa kubet naamini mwakani siku kama ya leo nitakuja kutoa ushuhuda wa kumaliza mwaka bila kamari.
Unajidanganya kaka mm nakupa wiki MOJA tu LAZMA utarud kundini mwenyewe bila kilazimishwa
Kama umeweza kudumu kundn KWA zaid ya 5years ,kirahs tahs tu uache ndan ya SIKU ? Never , hyo ni system ishaingia kwny damu ,it need extra force and commitment to leave it
 
mkuu muue Liverpool, Munich, Madrid & Milan Ashinde[emoji1787][emoji1787][emoji1787].... Stake Mlima J2 kachukue Mafao yako ya kamari..! Sema Tawile [emoji1787]
 
Watu nyie sio watu wazuri mtu anasema anataka kuacha lakini bado mnasondeka mitimu tu ili abeti tena 😂🤣
 
7M mbona pesa ndogo sana! Kuna mchina pale Palch Beach Casino alipigwa 500M per night! Akaenda kujipiga gun kwake huko! Casino inalipa but kua na financil respect! Mfano weka budget yako yakucheza Casino kama ni 1M basi! Ukiliwa toka nenda home kalale! Lakini ukienda ATM ku withdraw pesa nyingine uje kucheza tena, unapigwa tena!

Niliwahi kwenda kucheza Casino pale Sea Cliff! Nilienda na 100k! Nilitoka na 14M! Mwaka 2013! Nikawa naenda kucheza mara moja moja sana! Nikaja piga hesabu kwenye 14M zao wamerudisha 2M nika stop hadi 2015 nikawa naenda The Grand, Princes,Macau na Galaxy!

Nikaja kupata urafiki na mchina mmoja hivi! Alikua ananipa 500k zakucheza, nacheza nyingine nabana! Mungu si Athuman nilikua napata pata hizi 2M! Ila sio kwa pesa zangu,pesa za mchina na alikua na pesa mno! Maana kuna siku aliniambia toka aanze kucheza kamari kutokea huko kwao! Keshapoteza zaidi ya 2B
 
Aisee sijui inakuwaa ni pepo ganiii hili la kamariii...!! 2B zimesepaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…