Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Namshauri, atafute kazi nyengine, kuna kazi ya tabligh kazi yao kupita misikiti kuwakumbusha waumini, hawa hawana stress za maisha. Ukiingia ktk kundi hili hugombani na mtu, maisha ni simple sanaGambo kisiasa bado mchanga sana π
ChoiceVariable njoo uendelee kumtetea Gambo ameshanyoshwa!! ππ. Nilikueleza Gambo ni mbabaishaji tu hana fact ndio maana anagombana na viongozi wenzake kila mara.Wakati wa kuhitimisha mjadala wa leo, Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema kuna ombi la Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo anataka kusema jambo.
Amesema kwa kutumia kanuni namba 70 ya kanuni za Kudumu za Bunge Tolea la Februari 2023 anampa nafasi ya kusema ambayo inasema kutokusema uongo Bungeni.
Soma, Pia: Gambo aibua tuhuma za ufisadi wa mabilioni Arusha, Spika Tulia amwagiza Mchengerwa kuandaa ripoti iwasilishwe Bungeni
Mapema leo Jumatano Aprili 23, 2025, Spika aliagiza Mbunge huyo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Mohamed Mchengerwa wakasikilizwe na Kamati ya Maadili, Kinga na Madaraka ya Bunge baada ya kuwa na mabisho kuhusu tuhuma ambazo zilikuwa zimeibuliwa kutoka Arusha.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Mheshimiwa Spika, utakumbuka ilitokea sintofahamu leo asubuhi. Baada ya kukaa na kutafakari nimeona niombe radhi," amesema Gambo.
Gambo amesema katika kipindi cha asubuhi ulitokea aliouita mtifuano ambao hakutaja nini maana yake.
Mbunge huyo amesema hawezi kuendelea zaidi kwani makofi ya wabunge yameonyesha kuwa wamemsamehe hivyo anaomba aishie hapo asije akaharibu.
Kipindi cha dhalimu magu alikuwa anawaletea wapinzani sifa za kikuda mkawa mnamuona mzalendo. Haya huyo hapo katema bungo, mnaishia kumnanga. Au ndio mambo ya kutumika kama condom?ChoiceVariable njoo uendelee kumtetea Gambo ameshanyoshwa!! ππ. Nilikueleza Gambo ni mbabaishaji tu hana fact ndio maana anagombana na viongozi wenzake kila mara.
GAMBO HANA UBAVU WA KUPAMBANA. NI MWEPESI KM KARATASI. KIMSINGI MACCM YT MAOGA SN YA KUSHIGHULIKIWAHaha so you can't mess with"mkwe wake" Sawa...
Anagusa mambo ya wakubwaWakati wa kuhitimisha mjadala wa leo, Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema kuna ombi la Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo anataka kusema jambo.
Amesema kwa kutumia kanuni namba 70 ya kanuni za Kudumu za Bunge Tolea la Februari 2023 anampa nafasi ya kusema ambayo inasema kutokusema uongo Bungeni.
Soma, Pia: Gambo aibua tuhuma za ufisadi wa mabilioni Arusha, Spika Tulia amwagiza Mchengerwa kuandaa ripoti iwasilishwe Bungeni
Mapema leo Jumatano Aprili 23, 2025, Spika aliagiza Mbunge huyo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Mohamed Mchengerwa wakasikilizwe na Kamati ya Maadili, Kinga na Madaraka ya Bunge baada ya kuwa na mabisho kuhusu tuhuma ambazo zilikuwa zimeibuliwa kutoka Arusha.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Mheshimiwa Spika, utakumbuka ilitokea sintofahamu leo asubuhi. Baada ya kukaa na kutafakari nimeona niombe radhi," amesema Gambo.
Gambo amesema katika kipindi cha asubuhi ulitokea aliouita mtifuano ambao hakutaja nini maana yake.
Mbunge huyo amesema hawezi kuendelea zaidi kwani makofi ya wabunge yameonyesha kuwa wamemsamehe hivyo anaomba aishie hapo asije akaharibu.
Gambo alikuwa anawaza nini kuleta kamdomo kwa kifua kipana. Hajui kanuni za mchezo? Na ubunge unaweza ukawa umeahaota mbawa.Haha so you can't mess with"mkwe wake" Sawa...
Ni mpumbavu halafu tatizo ni Narcissist. Anajifanya anajua kuliko watu wote wengine.Mbunge mzima unawezaje kusema vibanda 400 vinaingiza milioni 800 kwa mwezi.Yaani milioni 2 kwa mwezi kwa vibanda vya Stendi ndogo Arusha. Unawakilisha vipi watu kwa ujinga wa aina hii?Ile issue ya 80m vs 800m nikasema huyu jamaa ni Mpumbavu
Shughuli yake ndio imeshaisha hapoWakati wa kuhitimisha mjadala wa leo, Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema kuna ombi la Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo anataka kusema jambo.
Amesema kwa kutumia kanuni namba 70 ya kanuni za Kudumu za Bunge Tolea la Februari 2023 anampa nafasi ya kusema ambayo inasema kutokusema uongo Bungeni.
Soma, Pia: Gambo aibua tuhuma za ufisadi wa mabilioni Arusha, Spika Tulia amwagiza Mchengerwa kuandaa ripoti iwasilishwe Bungeni
Mapema leo Jumatano Aprili 23, 2025, Spika aliagiza Mbunge huyo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Mohamed Mchengerwa wakasikilizwe na Kamati ya Maadili, Kinga na Madaraka ya Bunge baada ya kuwa na mabisho kuhusu tuhuma ambazo zilikuwa zimeibuliwa kutoka Arusha.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Mheshimiwa Spika, utakumbuka ilitokea sintofahamu leo asubuhi. Baada ya kukaa na kutafakari nimeona niombe radhi," amesema Gambo.
Gambo amesema katika kipindi cha asubuhi ulitokea aliouita mtifuano ambao hakutaja nini maana yake.
Mbunge huyo amesema hawezi kuendelea zaidi kwani makofi ya wabunge yameonyesha kuwa wamemsamehe hivyo anaomba aishie hapo asije akaharibu.
too little, too lateWakati wa kuhitimisha mjadala wa leo, Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema kuna ombi la Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo anataka kusema jambo.
Amesema kwa kutumia kanuni namba 70 ya kanuni za Kudumu za Bunge Tolea la Februari 2023 anampa nafasi ya kusema ambayo inasema kutokusema uongo Bungeni.
Soma, Pia: Gambo aibua tuhuma za ufisadi wa mabilioni Arusha, Spika Tulia amwagiza Mchengerwa kuandaa ripoti iwasilishwe Bungeni
Mapema leo Jumatano Aprili 23, 2025, Spika aliagiza Mbunge huyo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Mohamed Mchengerwa wakasikilizwe na Kamati ya Maadili, Kinga na Madaraka ya Bunge baada ya kuwa na mabisho kuhusu tuhuma ambazo zilikuwa zimeibuliwa kutoka Arusha.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Mheshimiwa Spika, utakumbuka ilitokea sintofahamu leo asubuhi. Baada ya kukaa na kutafakari nimeona niombe radhi," amesema Gambo.
Gambo amesema katika kipindi cha asubuhi ulitokea aliouita mtifuano ambao hakutaja nini maana yake.
Mbunge huyo amesema hawezi kuendelea zaidi kwani makofi ya wabunge yameonyesha kuwa wamemsamehe hivyo anaomba aishie hapo asije akaharibu.
πππππGambo atafute kozi ya kusoma Veta mapemaaa yani kila nikisali naonyeshwa Gambo yuko Veta anapata ujuzi sijui ina maana gani hii ndoto