PreGE2025 Gambo akubali yaishe. Aomba radhi na kufuta kauli yake

PreGE2025 Gambo akubali yaishe. Aomba radhi na kufuta kauli yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nataka nikutukane live. Upo wapi nije? Mimi nipo hapa Kisutu nataka kuelekea Obay.
Tukutane hapo Mkapa stadium, uje na kipaza sauti utukane hadi utosheke, ndio niende lunch maeneo ya external. Nina appoitment na mama yako mmoja maeneo ya ubungo leo.
 
Tukutane hapo Mkapa stadium, uje na kipaza sauti utukane hadi utosheke, ndio niende lunch maeneo ya external. Nina appoitment na mama yako mmoja maeneo ya ubungo leo.
Okay
 
Namshauri, atafute kazi nyengine, kuna kazi ya tabligh kazi yao kupita misikiti kuwakumbusha waumini, hawa hawana stress za maisha. Ukiingia ktk kundi hili hugombani na mtu, maisha ni simple sana
Wanatembea na kisanduku na bendera ya mchango/swadaka.🤣

Kuna mzee tangu nipo primary ndio kazi yake hana stress yoyote habanwi na lolote
 
Wanampigia na makofi kabisa bila kujua kama allegations azoleta bungeni Zina uzito gani

Kuna mtu nilimwambia after kama miaka 50 wajukuu zetu watapiga bakora makaburi yetu...... Wakija kujua haya tunayovumilia
Gambo yupo sahihi ila kaona akubari yaishe sema alichokua anasema ni sahihi CCM ni Wezi
 
Gambo kaa chini - utapopolewa kama maembe, muulize mjomba wako mzee wa Galilaya yaliyomkuta.

Piga magoti ili upewe ka ubunge Kako tena.
 
Gambo ameanza kuwa mkuu wa wilaya kipindi cha JK miaka michache kabla ajamaliza uraisi wake.

Ameendelea na Magufuli, baadae akawa mkuu wa mkoa kwa miaka minne, baada ya hapo ubunge.

Bado tu ajawa financial stable, kwa serikali hii ya bi-tozo ya upigaji ningepata ngekewa ya kuwa mkuu wa mkoa baada ya mwaka mmoja tu. Naanza vituko nifukuzwe kazi hadi hapo mtaji wa biashara tayari.

Inawezekana ni mimi na rafiki ninaowajua atuwezi lamba viatu vya mtu au taasisi ya ajira hivyo.

Yaani ile ni kama kudhalilishana kisa kutochezea risk ya kuchaguliwa ubunge. Siwezi kuwa mtumwa vile kamwe.

Huyo Lukuvi sasa anavyosagia kunguni, mpaka kichefuchefu kumsikiliza.
 
Utamuweza mkwe wewe.....huu wakati wao

Ova
 
Kwani DAB anagombea chuga town? Sio kigas? Mbna kule kuko wazi kabisaa.
Anaitaka Arusha na mipango yote imeshakamilika,kikwazo ilikuwa Gambo sasa Gambo kuazisha bifu na mkwe ndiyo kajiharibia kabisaa.
 
Wanajidai kuipambania nchi wakati tunajua sikazi yao.
Abaki hukohuko Dodoma agombee huko au kule kwao Tanga... Chuga hatutakagi wambea wambea.
 
GAMBO HANA UBAVU WA KUPAMBANA. NI MWEPESI KM KARATASI. KIMSINGI MACCM YT MAOGA SN YA KUSHIGHULIKIWA
CCM yeyote ni nyumbu, hawana ujanja nje ya CCM. Mliona Ngugai alivyopukushwa kutoka juu mpaka matopeni kwa muda mfupi? Mtu yeyote aliyeko CCM anasaidiwa na dola. Hata Samia.
 
Wakati wa kuhitimisha mjadala wa leo, Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema kuna ombi la Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo anataka kusema jambo.

Amesema kwa kutumia kanuni namba 70 ya kanuni za Kudumu za Bunge Tolea la Februari 2023 anampa nafasi ya kusema ambayo inasema kutokusema uongo Bungeni.

Soma, Pia: Gambo aibua tuhuma za ufisadi wa mabilioni Arusha, Spika Tulia amwagiza Mchengerwa kuandaa ripoti iwasilishwe Bungeni

Mapema leo Jumatano Aprili 23, 2025, Spika aliagiza Mbunge huyo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Mohamed Mchengerwa wakasikilizwe na Kamati ya Maadili, Kinga na Madaraka ya Bunge baada ya kuwa na mabisho kuhusu tuhuma ambazo zilikuwa zimeibuliwa kutoka Arusha.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Mheshimiwa Spika, utakumbuka ilitokea sintofahamu leo asubuhi. Baada ya kukaa na kutafakari nimeona niombe radhi," amesema Gambo.
Gambo amesema katika kipindi cha asubuhi ulitokea aliouita mtifuano ambao hakutaja nini maana yake.

Mbunge huyo amesema hawezi kuendelea zaidi kwani makofi ya wabunge yameonyesha kuwa wamemsamehe hivyo anaomba aishie hapo asije akaharibu.
Hofu ya Ubunge ni kubwa sana kwa Gambo
 
Alitegemea itatokea nini,unamtusi mkwe wa Rais! Njemba iliyompa Rais wajukuu, tena njemba iliyokabidhiwa makabrasha ya kuhakikisha mama mkwe anapita kwa "kishindo" By crook and hook,
 
Back
Top Bottom