Tukutane hapo Mkapa stadium, uje na kipaza sauti utukane hadi utosheke, ndio niende lunch maeneo ya external. Nina appoitment na mama yako mmoja maeneo ya ubungo leo.Nataka nikutukane live. Upo wapi nije? Mimi nipo hapa Kisutu nataka kuelekea Obay.
OkayTukutane hapo Mkapa stadium, uje na kipaza sauti utukane hadi utosheke, ndio niende lunch maeneo ya external. Nina appoitment na mama yako mmoja maeneo ya ubungo leo.
Wanatembea na kisanduku na bendera ya mchango/swadaka.🤣Namshauri, atafute kazi nyengine, kuna kazi ya tabligh kazi yao kupita misikiti kuwakumbusha waumini, hawa hawana stress za maisha. Ukiingia ktk kundi hili hugombani na mtu, maisha ni simple sana
Gambo yupo sahihi ila kaona akubari yaishe sema alichokua anasema ni sahihi CCM ni WeziWanampigia na makofi kabisa bila kujua kama allegations azoleta bungeni Zina uzito gani
Kuna mtu nilimwambia after kama miaka 50 wajukuu zetu watapiga bakora makaburi yetu...... Wakija kujua haya tunayovumilia
Niende hapo kwa Mkapa, au hadi upate kipaza sauti kwanza.Okay
Kamdomo😂😂😂😂😂
Hatariii 😂😂😂Kamdomo
Kwani DAB anagombea chuga town? Sio kigas? Mbna kule kuko wazi kabisaa.Na ubunge wa Arusha mjini asahau kabisa Nyamitako ameshamaliza kazi anamgojea kuapishwa tu November.
Anaitaka Arusha na mipango yote imeshakamilika,kikwazo ilikuwa Gambo sasa Gambo kuazisha bifu na mkwe ndiyo kajiharibia kabisaa.Kwani DAB anagombea chuga town? Sio kigas? Mbna kule kuko wazi kabisaa.
CCM yeyote ni nyumbu, hawana ujanja nje ya CCM. Mliona Ngugai alivyopukushwa kutoka juu mpaka matopeni kwa muda mfupi? Mtu yeyote aliyeko CCM anasaidiwa na dola. Hata Samia.GAMBO HANA UBAVU WA KUPAMBANA. NI MWEPESI KM KARATASI. KIMSINGI MACCM YT MAOGA SN YA KUSHIGHULIKIWA
Nani ampe vitisho boya yule? Ni yeye tu anajua kuwa nje ya mfumo hana chake.Nadhani ni baada ya kupewa maonyo na vitisho!
Hofu ya Ubunge ni kubwa sana kwa GamboWakati wa kuhitimisha mjadala wa leo, Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema kuna ombi la Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo anataka kusema jambo.
Amesema kwa kutumia kanuni namba 70 ya kanuni za Kudumu za Bunge Tolea la Februari 2023 anampa nafasi ya kusema ambayo inasema kutokusema uongo Bungeni.
Soma, Pia: Gambo aibua tuhuma za ufisadi wa mabilioni Arusha, Spika Tulia amwagiza Mchengerwa kuandaa ripoti iwasilishwe Bungeni
Mapema leo Jumatano Aprili 23, 2025, Spika aliagiza Mbunge huyo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Mohamed Mchengerwa wakasikilizwe na Kamati ya Maadili, Kinga na Madaraka ya Bunge baada ya kuwa na mabisho kuhusu tuhuma ambazo zilikuwa zimeibuliwa kutoka Arusha.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Mheshimiwa Spika, utakumbuka ilitokea sintofahamu leo asubuhi. Baada ya kukaa na kutafakari nimeona niombe radhi," amesema Gambo.
Gambo amesema katika kipindi cha asubuhi ulitokea aliouita mtifuano ambao hakutaja nini maana yake.
Mbunge huyo amesema hawezi kuendelea zaidi kwani makofi ya wabunge yameonyesha kuwa wamemsamehe hivyo anaomba aishie hapo asije akaharibu.
Alitegemea itatokea nini,unamtusi mkwe wa Rais! Njemba iliyompa Rais wajukuu, tena njemba iliyokabidhiwa makabrasha ya kuhakikisha mama mkwe anapita kwa "kishindo" By crook and hook,Wakati wa kuhitimisha mjadala wa leo, Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema kuna ombi la Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo anataka kusema jambo.