Uchaguzi 2020 Gambo ashiriki Shughuli za Kijamii; aonesha ustadi wa kuchagua mchele

Uchaguzi 2020 Gambo ashiriki Shughuli za Kijamii; aonesha ustadi wa kuchagua mchele

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Mtoto wa Muuza uji ashiriki Shughuli ya Kijamii

Ni Kwenye Arobaini ya Marehemu Mzee James Kilangisa Mtaa wa Milongoine kata ya Olmot Arusha.

FB_IMG_16005648017866386.jpg
FB_IMG_16005647953724419.jpg
FB_IMG_16005647901601640.jpg
FB_IMG_16005647849958993.jpg
 
Masikini hakuwahi hata kuchambua mcele kabla. Ona hao kina mama ndo wanamuelekeza, mgombea fukuza floor manager wako hakukushauri vema
 
Hakika wakati wa kampeini tutayaona mengi sana ya kufurahisha na ya kusikitisha.

Kutoka mkuu wa mkoa hadi kwenda kumsaidia kuchagua mchere mama nitilie kisa upate kurani zaidi ya kituko.

Gambo akubali tu kuwa kwa Arusha amesha chemka mapeema sana akawaulize watangulizi wake walichokipata Arusha.

Screenshot_20200921-135838.jpg
 
Gambo atakipata anachokitafuta. Picha bora kabisa. Waarusha wanajua mchele bora na chuya.
 
Hahaaa! Naona nchi nzima CCM wamepanic. Wanabwabwaja na kufanya vitendo vya kihuni huni tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Whoooi[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji119]wamevamia mchele wa watu jamani
Mwaka huu tutaona mengi sana

Hivi wagombea wa upinzani katika Jimbo analogombea ni akina nani!?
 
Back
Top Bottom