Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Kwani Mboga yupo nyumbani au keshahamia kwa Rungwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama masihara vile lakini ndio hali yenyeweView attachment 1576151
Hakika uchaguzi huu tutaona mengi,sio kwa mgombea urais tu hata kwa wabunge. Huyo ni Mrisho Gambo akijipendekeza kwa wajumbe
Godbless Jonathan Lema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Whoooi[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji119]wamevamia mchele wa watu jamani
Mwaka huu tutaona mengi sana
Hivi wagombea wa upinzani katika Jimbo analogombea ni akina nani!?
alafu sizani kama hata wamenawa mikono.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Whoooi[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji119]wamevamia mchele wa watu jamani
Mwaka huu tutaona mengi sana
Hivi wagombea wa upinzani katika Jimbo analogombea ni akina nani!?
na utakuta nyumbani kwake hajawahi hata kuchambua huo mchele.Duh! Madaraka haya, kuna watu wengine wapo tayali hata kuliwa kiboga alimradi ayapate.
Yesuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Godbless Jonathan Lema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alafu sizani kama hata wamenawa mikono.
Lema the great.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Whoooi[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji119]wamevamia mchele wa watu jamani
Mwaka huu tutaona mengi sana
Hivi wagombea wa upinzani katika Jimbo analogombea ni akina nani!?
Anaigiza?!Imebidi wabadilike kuwa wasanii?Hapo anachambua au anaigiza tu