Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
Ila aisee mbona hata km ni Mimi ningekua nagombea hiki kitendo nisingekifanya maana ntajiskia aibu sana yaani. Halafu kwa kawaida ntaona Kila mtu ananichora maana ninaigiza vitu visivyostahili kuigizwa.Mtoto wa Muuza uji ashiriki Shughuli ya Kijamii
Ni Kwenye Arobaini ya Marehemu Mzee James Kilangisa Mtaa wa Milongoine kata ya Olmot ArushaView attachment 1574838View attachment 1574839View attachment 1574840View attachment 1574841
Wanasiasa mishipa yenyu ya aibu iko mi_ku_ndhuni nini aisee kwa behind.