Ila aisee mbona hata km ni Mimi ningekua nagombea hiki kitendo nisingekifanya maana ntajiskia aibu sana yaani. Halafu kwa kawaida ntaona Kila mtu ananichora maana ninaigiza vitu visivyostahili kuigizwa.
Wanasiasa mishipa yenyu ya aibu iko mi_ku_ndhuni nini aisee kwa behind.