Gambo kama MwanaCCM yupo sahihi, MAKONDA akiwa RC Gizani aliumiza watu wengi sana

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Watanzania wanatakiwa wajuez Watu wachafu wanakawaida ya kuvaa mavazi masafi.

Makonda aliumiza Clouds Media

Makonda aliumiza wafanyabiashara wengi sana kwa Kutumia Jina la Magufuli.

Makonda ametajirika isivyoajabu kwa Matendo ya kihuni na na kikatili aliyonayo .

Ilifika wakati Makonda akaonekana ni Makamo wa Rais .

Dola ya Leo inampenda Makonda Kwa sababu ya Matendo yao ya kikatili yanayofanana.

Mwanzon Samia alikusudia kumpotezea kabisa ila DOLA wakatumia mbinu za kimafia kumgombanisha Samia na Akina Nape , Makamba , Ramani ikachorwa hatimaye ikafanikiwa kumrudisha Siasani.

Kile kipindi Makonda anashinda akilala na kula Kwa Pengo, akitembea Kila mazabahu,alikua anatafuta Huruma tu akilia huku machozi na makamasi yakimtoka.

Mbinu anayotumia Makonda ni kujifanya anawajali sana wananchi wa huko Tanzania LAKINI KIUHALISIA HAMNA KILA KITU.

Kuna watu watahamishwa Nchi Kwa lazima, wafanyabiashara watafilisika, kutakua ni vilio juu ya vilio .

Halutakua na Hali, Utawala wa Sheria, neno Demokrasia litabadilika kua Msamiati.

Nyinyi Tazameni matamko yake ya Sasa anayotoa !! Huyo jamaa Hana uvumilivu wa kisiasa, na linapokuja suala la Kugusia Elimu yake, atamuondoa yoyote yule kama Ben Saanane alivyoondoshwa Kwa kuhoji PhD ya JPM.
 
Huyo akitaka kugombea urais.. lazima Gwajima aje asimamishe dude tena. Dude likisimama huyo Makonda wenu lazima alale chali
 
Wacha wavuane nguo. Yaliyofanywa gizani yatajulikana.

Back
Top Bottom