Uchaguzi 2020 Gambo - Upikaji ugali ni sehemu ya Kampeni pia

Hizi kampeni anazofanya Gambo hata sizielewi, anaogopa kufanya mikutano kama Lema kwasababu anajua hali yake Arusha Mjini ni mbaya, sasa anaona bora apite kwenye nyumba za watu awasongee ugali tu, ale yeye na wenyeji wake atleast ashibishe tumbo lake.
 
Dah !! Ako kadada kana figa balaa jaman wasau eti nasikia kuna mrishp gambo cjui mrisho gambe apo kwenye picha.
 

HIYO NI ALAMA YA KUISHIWA SERA!!! HANA KITU CHA KUSEMA KWENYE MKUTANO WA HADHARA KWANI ARUSHA WANAMFAHAMU KUWA NI FISADI NA NDIO MAANA JIWE ALIMUONDOA KAMA MKUU WA MKOA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…