Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Unga limited Arusha
Kazi inaendelea
Kazi inaendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unga limited Arusha
Kazi inaendelea
View attachment 1584680View attachment 1584681View attachment 1584682
Hicho kidada cha viti maalumu kizuri balaa
Nimekitamañi sanaHicho kidada cha viti maalumu kizuri balaa
Hicho Kimbulu kishawavuruga wazee wa chama wanakahitaji DodomaHicho kidada cha viti maalumu kizuri balaa
Hiyo ni takrima/rushwa. Ina tofauti gani na ile ya mzee rungwe hii?Unga limited Arusha
Kazi inaendelea
View attachment 1584680View attachment 1584681View attachment 1584682
Tunaomba waendelee kufanya haya hata baada ya uchaguziHiyo ni takrima/rushwa. Ina tofauti gani na ile ya mzee rungwe hii?
Hawawezi hao. Wanafanya hivyo kuwadhihaki wananchi kwamba wana njaa.Tunaomba waendelee kufanya haya hata baada ya uchaguzi
Komwe kama ngedereHicho kidada cha viti maalumu kizuri balaa
Dah !! Ako kadada kana figa balaa jaman wasau eti nasikia kuna mrishp gambo cjui mrisho gambe apo kwenye picha
Hizi kampeni anazofanya Gambo hata sizielewi, anaogopa kufanya mikutano kama Lema kwasababu anajua hali yake Arusha Mjini ni mbaya, sasa anaona bora apite kwenye nyumba za watu awasongee ugali tu, ale yeye na wenyeji wake atleast ashibishe tumbo lake.