Gambo , usijisikie vibaya , mwambie mke wako apige chaki na wewe uendelee na kilimo.

Atatafutiwa chaka... akawe hata RC au DC.Hawezi kuachwa hivihivi.
 
Mke wake alisimamishwa kazi, ila ubunge una pesa wanaweza kufanya biashara kupitia hizo pesa alizovuna
 
Vyeti vyake vimeshindwa kumnasua mbele ya wajumbe?
 
Watu wakishakua juu ni juu tu wazee huyo muhuni kupata connection ni rahisi sana ajielezi mara mbili mbili sema kama anaamini katika ubunge tu ndio atapotea..
 
Kama Charz kitwanga ukiachana na pesa za ubunge wale jamaa wanakuaga na kamati zao wanajilipa hela kibao na kazi ya ubunge haina pressure hauwazii kutumbuliwa miaka mitano
 
Pole Sana Gambo. Najua mke wako sasa anarudi kupiga chaki.

Ila usivunjike moyo karibu katika kilimo cha mananasi ,papii , oliento sasa mlemavu ududu yaani.
Kumbe Madam Mage aliachana na chaki?? Hongera zake
 
Pole Sana Gambo. Najua mke wako sasa anarudi kupiga chaki.

Ila usivunjike moyo karibu katika kilimo cha mananasi ,papii , oliento sasa mlemavu ududu yaani.
Kwani Kila anaepishana na mfumo lazima awe mkulima? Anaweza fanya kazi zingine hata biashara ya kutosha magari.

Robert Gabriel si alikuwa local fundi na maisha yanaenda.
 
Sasa ni zamu yake kukaa kwa kutulia, akijaribu kufurukuta tu watu wanaondoka na kichwa. Huo ndiyo utamu wa kuwa CCM.
 
Kwani Kila anaepishana na mfumo lazima awe mkulima? Anaweza fanya kazi zingine hata biashara ya kutosha magari.

Robert Gabriel si alikuwa local fundi na maisha yanaenda.
Biashara atafanya na nani? Ukishakataliwa na CCM kwishaa huna namna nyingine yoyote zaidi ya kuwa mkulima - maana kilimo huhitaji hata kuwa na TIN. Ni wewe na jembe lako shamba, maana hata ma group ya CCM yote unaondolewa.

Raha ya kuwa CCM ndiyo hiyo. Sasa anayakumbuka maneno ya Lema.
 
Duu
 
Back
Top Bottom