Now and then
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 613
- 1,729
Agaaa !!! Ududu hakika hawafai wajumbe agaaa !!!Atatafutiwa chaka... akawe hata RC au DC.Hawezi kuachwa hivihivi.
Kama Charz kitwanga ukiachana na pesa za ubunge wale jamaa wanakuaga na kamati zao wanajilipa hela kibao na kazi ya ubunge haina pressure hauwazii kutumbuliwa miaka mitanoWatu wakishakua juu ni juu tu wazee huyo muhuni kupata connection ni rahisi sana ajielezi mara mbili mbili sema kama anaamini katika ubunge tu ndio atapotea..
Kumbe Madam Mage aliachana na chaki?? Hongera zakePole Sana Gambo. Najua mke wako sasa anarudi kupiga chaki.
Ila usivunjike moyo karibu katika kilimo cha mananasi ,papii , oliento sasa mlemavu ududu yaani.
Kwani Kila anaepishana na mfumo lazima awe mkulima? Anaweza fanya kazi zingine hata biashara ya kutosha magari.Pole Sana Gambo. Najua mke wako sasa anarudi kupiga chaki.
Ila usivunjike moyo karibu katika kilimo cha mananasi ,papii , oliento sasa mlemavu ududu yaani.
Ajiajiri si tayari ana mtaji wa zaidi ya bilioni 3Pole Sana Gambo. Najua mke wako sasa anarudi kupiga chaki.
Ila usivunjike moyo karibu katika kilimo cha mananasi ,papii , oliento sasa mlemavu ududu yaani.
Biashara atafanya na nani? Ukishakataliwa na CCM kwishaa huna namna nyingine yoyote zaidi ya kuwa mkulima - maana kilimo huhitaji hata kuwa na TIN. Ni wewe na jembe lako shamba, maana hata ma group ya CCM yote unaondolewa.Kwani Kila anaepishana na mfumo lazima awe mkulima? Anaweza fanya kazi zingine hata biashara ya kutosha magari.
Robert Gabriel si alikuwa local fundi na maisha yanaenda.
Bora uzima maisha ni matokeo!!
DuuBiashara atafanya na nani? Ukishakataliwa na CCM kwishaa huna namna nyingine yoyote zaidi ya kuwa mkulima - maana kilimo huhitaji hata kuwa na TIN. Ni wewe na jembe lako shamba, maana hata ma group ya CCM yote unaondolewa.
Raha ya kuwa CCM ndiyo hiyo. Sasa anayakumbuka maneno ya Lema.
πππPole Sana Gambo. Najua mke wako sasa anarudi kupiga chaki.
Ila usivunjike moyo karibu katika kilimo cha mananasi ,papii , oliento sasa mlemavu ududu yaani.