Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
- Thread starter
- #21
Hua naskia jujuu kuwa kakulia na kuishi Marekani hivyo huenda uzungu umeathiri usukuma wake na kuongea kama Obama tu.Nyani Ngabu ni bitozi sana, hata kisukuma anaongea kwa lafudhi ya Queens Bridge