Game gani lilikuteka kihisia ukajihisi na wewe ni muhusika ndani ya game

Back in the day Call of duty modern wa fare II & III , advanced war fare. Ili bamba sana. Sikuizi utu uzima nimewaachia madogo
Mpaka leo bado nacheza Modern Warfare, nmecheza 2, 3 na 4. Ile 2 kuna mission kama 2 hivi nazipenda sana sana.

1. Mission ambayo mnamtafuta Rojas, mnaenda Brazil huko mnakutana na Militia, so zinapigwa mtaa kwa mtaa. Washkaji(militia) ambao ni maadui wako wengi saana, kile kipande ukicheza kwa awamu ya kwanza utafelifeli.

2. Mnaenda mtafuta Makarov, mission inaitwa Loose ends, mwisho wa Mission Roach na Ghost mnauawa baada ya kusalitiwa na General Shepherd, hii mission utamu wake uko pale ambapo mnaupload data kutoka ktk computer ya Makarov kisha mnasubir data zijae mchomoe UDSM ili muondoke. Humo ndani zinagongwa shaba balaa.
 
Mission number 1 ni fire mpaka leo, umenikumbusha mbali
 
COD world at war dah.. wajerumani walivomdaka mwanangu private Robert Zusman nakua pow wao.. nilichanganyikiwa[emoji28]
World at War (World War II) wajerumani mziki wake sio mgumu saaana kama mziki wa Wajapan kule misituni na ufukweni.

Unamkumbuka Reznov? Pale ambapo mnajifanya mmekufa na wajerumani wanakuja wanapiga kila mtu kuhakikisha wanekufa ila ninyi mnabaki hai. Reznov anasema amepata shida ktk kidole chake hivyo anakupa sniping riffle yake.
 
Kuna ngoma inaitwa IG project πŸ™Œ
Project IGI, I am Going In. Umecheza ipi mkuu? 1 moja ya mission ya kibabe na ni ngumu ni ile ya 4, pia kuna ile ambayo unaenda kumuua yule demu adui ila sasa unafika tu sehemu ambayo yupo anakimbia na helcopter. Hii mission maadui wanavaa kininja hivi.

Hao wajomba wakipiga risasi nadra kukukosa. Lakini pia kuna ile mission ya kumkomboa Priboi, baadae ukimkomboa treni inapigwa bomu, kipengele cha apo kizito sana ila kizito zaidi pale ambapo helcopter yenu mnayotumia kutorokea nayo inapigwa chini kisha Priboi anatekwa tena.
 
Mission number 1 ni fire mpaka leo, umenikumbusha mbali
Ile mission ni moto saana, mara wengine wanatokea madirishani, maadui wamemwagika kila kona. Mwisho kwenye kukimbia kwenda ktk helcopter ambayo Nikolai yupo nayo wewe unaanguka. Akina Soap, Ghost n.k wao wanaingia, so unakimbia mtaani, unatembea juu ya mabati ili kuifata Helcopter ilipo.
 
Boss habari! Naomba msaada wa Specs ya Laptop kwa bei ya 3.7m iwe ya Eng/Gaming laptop.

Chief-Mkwawa
Kwa budget hio tafuta Laptop yenye RTx 4070, Automatic ram, Cpu etc vitakua vizuri.

Then angalia idadi ya ram software zako inazotumia na kioo hasa Color accuracy incase unafanya editing sana.

Software gani za Engineer unatumia?
 
Oya mwanangu Upo wapi
 
Weka skrinishoti kwanzaaa
 
COD Black ops II mision in panama, hasa pale Alex Mason alivyomuua kwa makosa rafiki yake kipenzi Frank Wood
 
Mimi ni half life nilikuwa najiona kama Mimi ndio doctor Gordon
 
1. GTA
2. Need for speed Most wanted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…