Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zumbla game nipo level 74.View attachment 1233730
Na fruits legend nipo level 10 na nimeshindwa kuvuka. View attachment 1233731
Hauwezi kuamini nimeachia bonge la smile baada ya kujua uliona cha kuchukua kwenye ile screenshot [emoji173][emoji173][emoji173][emoji173].Hivi fundi maiko ujue siku ile umepost apps za kwenye simu yako ndo niliona zumbla nikaenda kuidownload. Ndo nipo level ya 26; ntakuwa serious nayo nikukaribie kidogo
Hongera umenizidi 1000 nzimaView attachment 1233755
Toon Blast Level 2407
Ni kweli kabisa fundi Maiko niliichukua kwenye screenshot yako (ulinikumbusha kuhusu zuma). Kwa kweli sijui kama ntakufikia; ngoja nijikongojeHauwezi kuamini nimeachia bonge la smile baada ya kujua uliona cha kuchukua kwenye ile screenshot [emoji173][emoji173][emoji173][emoji173].
Umeona ilivyo tamu sasa. Njoo taratibu ila sidhani kama utanifikia[emoji23][emoji23][emoji23]
Fundi maiko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha mbali sana.Ni kweli kabisa fundi Maiko niliichukua kwenye screenshot yako (ulinikumbusha kuhusu zuma). Kwa kweli sijui kama ntakufikia; ngoja nijikongoje
Hongera umenizidi 1000 nzima
Nitafika huko maana kila siku kuanzia saa 5 usiku hadi saa 6 usiku lazima nicheze angalau 10 hadi 20...Hahaaaaa na hapo nasuasua ningeshaingia kwenye World Of Champions (level 3000)
Asante
Ukiwa umejiunga na fb hata ukifuta au ukibadili simu unaenelea ulipoishia
Nipo 5555 ndio mwisho kwa sasa ila kila baada ya wiki 2 au mwezi wana update level zingine
umenikumbusha mbali nilikuwa napenda sana kumtumia cleopatraNikiboreka kwenye foleni hili game lanipa kampani View attachment 1233443
Hili game nlicheza mpka ikafika stage wakantumia message niende msituni huko amazon maana nilishindikanaNikiboreka kwenye foleni hili game lanipa kampani View attachment 1233443