Game kama hizi CR7 hawezi: Denmark vs Portugal kwenye National League

Game kama hizi CR7 hawezi: Denmark vs Portugal kwenye National League

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Mpira unachezeka hapa. Ronaldo abakie kucheza kistar uarabuni.
1476.png

Team nzima under-30. Mafaza at least wakina Silva wana 31.

Huyu 40s hapana.
 
Nimeshindwa kui hate watch hiyo match.

Mpaka wakati mwingine
 
Mpira unachezeka hapa. Ronaldo abakie kucheza kistar uarabuni.
View attachment 3682124
Team nzima under-30. Mafaza at least wakina Silva wana 31.

Huyu 40s hapana.
Ureno timu ya makombe anayo na hapo nje kuna dogo mmoja yupo Juve anacheza winga ya kulia anaubonda vibaya sana,dingi alikuwa anawachelewesha na kuwakaba wenzake.
 
Back
Top Bottom