Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
usiingilie uhuru wa mawazo mkuuKaka usije ukadhani unajadili mambo ya chadema hapa, achana na mpira huuwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
hii ya leo komesha mkuu ! hata goli lao la kusawazisha baadhi ya wachezaji wa Azam wameonekana kusikitika .Azam mazezeta wamefanya vibaya mechi nyingi hakuna haja ya kuchunguza
ulichotakiwa ni kunishitaki au kunipuuza lakini si kunilazimisha utakavyo .
Tulieni dawa iwa ingieNaunga Mkono HOJA.