Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mpaka hivi sasa Simba inaongoza kwa magoli 3-1 , lakini kwa namna timu ya Azam inavyocheza ni dhahiri iko chini ya kiwango mno ! ni lazima kuchunguza ili kujiridhisha kama hakuna mchezo mchafu , tumeingia kuangalia soka si kuangalia vituko , Hii si Azam tunayoijua.
Pamoja na kwamba mimi ni mwana simba lakini kiukweli tunahitaji ushindi usio na mawaa ili timu yetu isibweteke .
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO .
Pamoja na kwamba mimi ni mwana simba lakini kiukweli tunahitaji ushindi usio na mawaa ili timu yetu isibweteke .
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO .