Game ya Yanga vs Simba itakuwa ngumu Sana

Hivi ulianza kufuatilia hizi tambo toka mwanzo au?
Mana toka mwanzo Simba ndo hadi walikua wanafunga vitambaa kuonesha hawataki kuzungumzia, Leo wewe unasema Simba wanaingia na uhakika wa kushinda, wkt wa Yanga ndo wameanza kujigamba kua wanaifunga Simba trh 8

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulilotabiri limetimia,tunasubiri muanze kufukuzana
 
Sijasoma uzi lakini kwa Heading tu its Obviously Kaka unaujua mpira, sio hawa Mbumbumbu Fc[emoji109][emoji109][emoji109]
 
Huu ndo utabiri Yanga ni Imara kuliko simba ila chochote chatokea....Yanga kidume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…