Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hata sielewi..lakini najua kuchezanawaza jinsi unavyokata kiuno kama fifii moto au wewe ni wale wa kuruka ruka, eti bibie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sielewi..lakini najua kuchezanawaza jinsi unavyokata kiuno kama fifii moto au wewe ni wale wa kuruka ruka, eti bibie
Sijamlazimisha afanane na mimi mkuu maana haiwezekani, ila nimemuuliza anapata wapi huo muda pengine ningejifunza kitu na mimi.Usilazimishe mfanane, km wewe huna muda wa kupumzika usifosi na mwenzako akose.
Kwn ww unapata wapi muda wa kuwa na mpnz wako?Sijamlazimisha afanane na mimi mkuu maana haiwezekani, ila nimemuuliza anapata wapi huo muda pengine ningejifunza kitu na mimi.
Sasa ukichoka mzee si inabidi upumzike, au ukichangamsha akili kwa kucheza gemu ndo kupumzika kwenyewe?Kwani wewe masaa 24 ni kazi tu muda wote,kuna muda mwili unatakiwa ufikirie mambo mengine ya kuchangamsha akili
Aisee, basi sawa!Kwn ww unapata wapi muda wa kuwa na mpnz wako?
Ok good!Kwani wewe muda wa kuangalia mpira either ligi yetu ama epl unaupata wapi,si mtu tu kupangalia vitu vingine katika muda uutakao
Nani amekuaminisha games ni kwa ajiri ya watoto?UMRI WAKO TAFADHARI!!!!!!!
Anyway kumbe shule zimefunga [emoji23][emoji23]
Uko sahihi kabisa mkuu! Wanaotengeneza games ni vichwa kama wanaotengeneza animation movies! Kuna majitu yako outdated sana halafu yanajifanya yanajua vitumkuu achana na hawa waswahili.
wanaotengeneza magemu wana akili kuliko asilimia 90% ya watanzania wote. na watengenwzaji magemu ni watu wazima na vijana wenye elimu kubwa pia ukichanganya mitaji ya kutengenezea baadhi ya magemu ni pesa za kujengea majengo kumi ya tanesco na viwanja viwili kimoja cha taifa pia ujira wao ni mkubwa kuliko mfanyakazi wa serikali wa tanzania ambaye analipwa kiasi kikubwa ukichangia sekta ya games hutoa ajira nyingi huko walikoendelea na kuchangia uchumi kwa kiasi kikubwa na faida ya magemu ni kubwa kuliko bajeti ya kujenga madaraja kumi na flyover za tanzania.
Mpaka hapo magemu hayatengenezwi kwa ajiri ya watoto kwani mingine ni kuanzia miaka kuminane ili uweze kutumia hilo game ambao ni umri wa mtu mzima tanzania.
Bonyeza open the app ili ufungue game kuhusu virus usiogope kwani mara nyingi magemu ya playstore huwa hayana virus.