Game za magari

Game za magari

Usilazimishe mfanane, km wewe huna muda wa kupumzika usifosi na mwenzako akose.
Sijamlazimisha afanane na mimi mkuu maana haiwezekani, ila nimemuuliza anapata wapi huo muda pengine ningejifunza kitu na mimi.
 
Usiku kama sina usingizi ama muda ambao ninakuwa na mawazo
 
Dah mtanzania mwenzangu, unapata wapi muda wa kucheza gemu jamani😢😢😢
Kwani wewe masaa 24 ni kazi tu muda wote,kuna muda mwili unatakiwa ufikirie mambo mengine ya kuchangamsha akili
 
UMRI WAKO TAFADHARI!!!!!!!

Anyway kumbe shule zimefunga [emoji23][emoji23]
32 na nina kazi yangu tayari,sema kingine ......ama ulijua na mie ninaishi kwa shemeji kama wewe
 
Kwani wewe masaa 24 ni kazi tu muda wote,kuna muda mwili unatakiwa ufikirie mambo mengine ya kuchangamsha akili
Sasa ukichoka mzee si inabidi upumzike, au ukichangamsha akili kwa kucheza gemu ndo kupumzika kwenyewe?
 
Kwani wewe muda wa kuangalia mpira either ligi yetu ama epl unaupata wapi,si mtu tu kupangalia vitu vingine katika muda uutakao
 
Game inasaidia sana ku refresh akili pia kuchangamsha medula. Huwa nacheza sana tu tena nina mpango wakufunga ps4 home niwe nashindana na son wangu wa miaka 3 manake naye ni kama baba ake tu.
 
mkuu achana na hawa waswahili.
wanaotengeneza magemu wana akili kuliko asilimia 90% ya watanzania wote. na watengenwzaji magemu ni watu wazima na vijana wenye elimu kubwa pia ukichanganya mitaji ya kutengenezea baadhi ya magemu ni pesa za kujengea majengo kumi ya tanesco na viwanja viwili kimoja cha taifa pia ujira wao ni mkubwa kuliko mfanyakazi wa serikali wa tanzania ambaye analipwa kiasi kikubwa ukichangia sekta ya games hutoa ajira nyingi huko walikoendelea na kuchangia uchumi kwa kiasi kikubwa na faida ya magemu ni kubwa kuliko bajeti ya kujenga madaraja kumi na flyover za tanzania.

Mpaka hapo magemu hayatengenezwi kwa ajiri ya watoto kwani mingine ni kuanzia miaka kuminane ili uweze kutumia hilo game ambao ni umri wa mtu mzima tanzania.

Bonyeza open the app ili ufungue game kuhusu virus usiogope kwani mara nyingi magemu ya playstore huwa hayana virus.
 
Uko sahihi kabisa mkuu! Wanaotengeneza games ni vichwa kama wanaotengeneza animation movies! Kuna majitu yako outdated sana halafu yanajifanya yanajua vitu
 
Back
Top Bottom