Ipi unaikubali?kikawaida kidunia gamers wasio na hela (low end gamers) wananunua console sababu ni bei rahisi, na wale gamers wanaotaka best experience wanakuwa na pc.
mkuu console unacheza game hd kawaida tena fps 30 ikizidi sana ni fps 60,
kwenye pc games hadi 4k, na fps zaidi ya 100, hela yako tu kutafuta gpu na monitor nzuri ku enjoy quality.
PC Ni nzuri zaidi mkuu.Ipi unaikubali?
Pubg la online lakini.Nje ya mada kidogo wakuu, game ipi ya FPS ya android yenye HD graphics nzuri ambayo nitaenjoy kwenye tablet? Modern combat nimemaliza yote, sniper ghost warrior nikidownload data file yake (obb) kule revdl au rexdl zote ukianza kuextract zinakwambia rar imecorrupt.
Pubg la online lakini.
Hata kwa PC, bado PES anasubiri kwa FIFA.Yeyote anaesema PES ni bora kuliko FIFA huyo sio gamer aiseeee kwanza wengi mnacheza game kwenye pc tulishahama uko ndo maana mnaikubali PES
Hata kwa PC, bado PES anasubiri kwa FIFA.
HahahahahahahahaPES nshawahi kumfunga mtu 25-0
Online modeNahisi ulikuwa unacheza kwenye biginner mode
Ndugu naomba mwenye link ya fifa 20 atupiea hapa nipakuwe tafathali jamani nimeishaangaika kulipata hili game
Bado mkuu sie wazee wa kitonga crack haijatoka.Ndugu naomba mwenye link ya fifa 20 atupiea hapa nipakuwe tafathali jamani nimeishaangaika kulipata hili game
Fc24 (fifa 24)Mapungufu ya pes na fifa.
Pes;
- Sipendi game lake liko speed sana yani, ukicheza sana unaweza hisi hata kizunguzungu, yani straiker akienda kufunga anakua na speed sna
- yani penetration pass inapigwa hujui hata ataipokea nani, unapiga kwa kuashumu na bado hupotezi mpira
- graphic wamezifiwa mbali na fifa.
Fifa:
- ujinga wao ni mmoja tu,
Wachezaji kuwa na nguvu na kupata nafasi nyingi za kushinda ni hadi umiliki mchezo kwanza (ball possition)
Wakati kiuhalisia unaweza miliki Ball position na bado ukachezea vitasa.
Hili lina magoli ya uongo ya trivela(almaarufu AUTA😂) mtu akipiga hiyo ni kakufunga, ni kama kwenye pes kuna sehemu ilikuwa villa, messi n.k wakipiga ndizi tu ni goli, au cr7(mwenye shot power kubwa) akisimama uelekeo fulani ukishuti ni goliFc24 (fifa 24)
Umecheza?
Me ikitokea foul kwenye d pale au maeneo ya karibu na box kwa mbele lazima nikuweke.Hili lina magoli ya uongo ya trivela(almaarufu AUTA😂) mtu akipiga hiyo ni kakufunga, ni kama kwenye pes kuna sehemu ilikuwa villa, messi n.k wakipiga ndizi tu ni goli, au cr7(mwenye shot power kubwa) akisimama uelekeo fulani ukishuti ni goli