Gamers only: FIFA vs PES ipi unaikubali?

kikawaida kidunia gamers wasio na hela (low end gamers) wananunua console sababu ni bei rahisi, na wale gamers wanaotaka best experience wanakuwa na pc.

mkuu console unacheza game hd kawaida tena fps 30 ikizidi sana ni fps 60,

kwenye pc games hadi 4k, na fps zaidi ya 100, hela yako tu kutafuta gpu na monitor nzuri ku enjoy quality.
Ipi unaikubali?
 
Nje ya mada kidogo wakuu, game ipi ya FPS ya android yenye HD graphics nzuri ambayo nitaenjoy kwenye tablet? Modern combat nimemaliza yote, sniper ghost warrior nikidownload data file yake (obb) kule revdl au rexdl zote ukianza kuextract zinakwambia rar imecorrupt.
 
Pubg la online lakini.
 
Yeyote anaesema PES ni bora kuliko FIFA huyo sio gamer aiseeee kwanza wengi mnacheza game kwenye pc tulishahama uko ndo maana mnaikubali PES
Hata kwa PC, bado PES anasubiri kwa FIFA.
 
Pes ni nzuri kuliko fifa hasa upande wa graphics na muonekano sema kuitoa uefa kuipeleka fifa kumeharibu utamu wote, ila ukitaka challenge cheza fifa sababu pes imezidi uongo haipo kiuhalisia zaidi.
 
Ndugu naomba mwenye link ya fifa 20 atupiea hapa nipakuwe tafathali jamani nimeishaangaika kulipata hili game
 
Mapungufu ya pes na fifa.

Pes;
  • Sipendi game lake liko speed sana yani, ukicheza sana unaweza hisi hata kizunguzungu, yani straiker akienda kufunga anakua na speed sna
  • yani penetration pass inapigwa hujui hata ataipokea nani, unapiga kwa kuashumu na bado hupotezi mpira
  • graphic wamezifiwa mbali na fifa.

Fifa:

- ujinga wao ni mmoja tu,
Wachezaji kuwa na nguvu na kupata nafasi nyingi za kushinda ni hadi umiliki mchezo kwanza (ball possition)
Wakati kiuhalisia unaweza miliki Ball position na bado ukachezea vitasa.
 
Fc24 (fifa 24)

Umecheza?
 
Fc24 (fifa 24)

Umecheza?
Hili lina magoli ya uongo ya trivela(almaarufu AUTA😂) mtu akipiga hiyo ni kakufunga, ni kama kwenye pes kuna sehemu ilikuwa villa, messi n.k wakipiga ndizi tu ni goli, au cr7(mwenye shot power kubwa) akisimama uelekeo fulani ukishuti ni goli
 
Me ikitokea foul kwenye d pale au maeneo ya karibu na box kwa mbele lazima nikuweke.
 
Back
Top Bottom